Hahahahaaa ishapita Mungi au we bado uko mwaka 2012 ?
Nami nakushauri u s i m w a c h e m u m e o, mpaka kieleweke. Mtuige sisi, Lady doctor atakupa mbinu za kukabiliana na kina Bishanga, PakaJimmy, Kaizer, Ruttashobolwa na wakware wenzao kina Filipo.
BCC Erickb52.
.
Mkuu,
Ukware mi niliacha baada ya kuona ulivyoumizwa pale Korogwe aisee babaangu!
Nilishuhudia ulivyomgharamia Arabela mavituvitu mengi, nauli, matunda aina ya peas na yale matunda-damu, Kitambaa cha SoSo, na Airtime, lakini baadae, kwa maringo kabisa akaondoka Filipo kuelekea Makorora, na wakaishi kwa siku 4 ndani ya chandarua moja!!!.
Kama marejesho hakujua hili, basi na ajue leo!
Nami nakushauri u s i m w a c h e m u m e o, mpaka kieleweke. Mtuige sisi, Lady doctor atakupa mbinu za kukabiliana na kina Bishanga, PakaJimmy, Kaizer, Ruttashobolwa na wakware wenzao kina Filipo.
BCC Erickb52.
We nae toka uopolewe na lile jimama kambi ya fisi umehamia analogia..... Utajiju na bado
Jamani kuna nini kinaendelea hapa!!!?
mi hapa siongei kitu, ngoja kati ya hawa waje wakujibu.... sweetlady, ladyfurahia, Passion Lady na charminglady
thanx honey kwa kuniwakilishaMimi na my akanana Passion Lady tunamtakia bwana Erickb52 happy birthday na mumgu amuongezee miaka 100 ya furaha na amani na watu wote
Heeeee sisy ulikuwa wapi siku zote? Keki shemu alikuchukulia mdai akupatie!
Mm mzima kabisa, cjui ww, naitamani cake kweli, ila ndio nishaikosaKijino asante sana dada yangu.
Vip mzima wewe?