.
Mkuu,
Ukware mi niliacha baada ya kuona ulivyoumizwa pale Korogwe aisee babaangu!
Nilishuhudia ulivyomgharamia Arabela mavituvitu mengi, nauli, matunda aina ya peas na yale matunda-damu, Kitambaa cha SoSo, na Airtime, lakini baadae, kwa maringo kabisa akaondoka Filipo kuelekea Makorora, na wakaishi kwa siku 4 ndani ya chandarua moja!!!.
Kama marejesho hakujua hili, basi na ajue leo!
kanakabana atakuja kesho aisee kukupa hi ila klorokwini nahisi yuko Sayari nyingineSweetlady na Hus tumeshaonana lakini nawatafuta Kaba na Kloro ukiwaona waambie nimerudi.
Unakula nini hapa nafakamia kababu kubwa za Nairobi.
kanakabana atakuja kesho aisee kukupa hi ila klorokwini nahisi yuko Sayari nyingine
Hahahahaaasikutaka kukosa birthday kesho ntakuja kuleta keki mapacha wanasumbua ngoja nikawanyonyeshe
Eeeeh umemuona wifi yako Kabakabana ?Hahahahhaha..... Tunasoma upepo eeh
Eeeeh umemuona wifi yako Kabakabana ?
Dah akitokeza nitafurahi sana aiseeNimemuona my dia..... Natamani na klorokwini nae atokee sahivi lol
Ukianza tu upepo wa KUSI meli inazama faster hahaaaaHahahahhaha..... Tunasoma upepo eeh
Dah akitokeza nitafurahi sana aisee
Kiukweli namiss sana Jukwaa la kipindi kile....tulikuwa tunalala saa sita hahahaaaa
Salamu sana kwa Dada yangu kipenzi AshaDii (Miss you so much sister)