With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Happy b'day kaka Mungu akupe miaka mingi hapa duniani. Ila kuna kitu kimenishtua kuhusu mtoto wangu hii vita naona haitaisha
Nashukuru sana nitonye ila naamini hiyo vita itaisha tu tukikaa meza moja na kuzungumza!
 
Last edited by a moderator:
kaka Erickb52 upo dipper leo umebadilisha kweli nataka nije kufuta poop
 
Last edited by a moderator:
Eeeh?????
Hapo kwenye mabano unamaanisha nini?
Wewe na watu8 ipo siku mtajibu.

Patna alimaanisha hivi...ur sweet to him kama kiperemende

Personalised_Wrapped_Sweets.jpg

cc: Erickb52
 
Haswaaaa....
Halafu sijui kwa nini huwa nikiona jina lako nakumbuka siku ya kwanza nilivyokukaribisha JF...hahaha

hahahaaa, nami nikiona jina lako nakumbuka lillejibu ulilotoa kwenye ile thread yangu niliyotaka mnijibie swali langu la 'cheupe kama maziwa' teh teh!
 
hahahaaa, nami nikiona jina lako nakumbuka lillejibu ulilotoa kwenye ile thread yangu niliyotaka mnijibie swali langu la 'cheupe kama maziwa' teh teh!

Hahah hebu nikumbushe basi binti yangu...unajua nshasahu lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom