Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
Erickb52 maji ya kuoga tayari twende nkakuogeshe
The secretary, halahala na huyo Erickb52 nina mume atii!!!!!!
The secretary, halahala na huyo Erickb52 nina mume atii!!!!!!
siku zote nilikuwa najihisi kama nimepungukiwa kitu,mpana nikawa naenda kuomba ushauri kule jf doctor nikizani pengine naumwa kumbe nilikuwa nimekumic mkuu Erickb52 kaka mkubwa sasa naweza kula na kunywa...Dear sweetlady
Ninaomba kukushukuru sana kwa kunitakia heri katika siku yangu hii ya kuzaliwa...Pokea thanks zangu!
Sina la kusema...ila umenifanya nirudi kundini kwangu (Chitchat) coz ni miezi kadhaa sasa tangu niwe nje ya jukwaa.
Thanks for your love and care.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wanaJF wote toka maujukwaa yote bila kuwasahau mods wote Invisible , Paw , Moderator na wenzao.
Niliwamiss sana wapendwa The Boss thanks sana, watu8 Baba V mimisa Paloma sosoliso PakaJimmy TANMO Heaven to earth babaa Arushaone shem shansarie na mumewe kiwatengu Arabela YNNAH Mamaa KOKUTONA Mamndenyi Bishanga (Miss you mkuu) Slave , Lisa snowhite Blaki Womani (Miss you sister) Filipo Mungi marejesho LiverpoolFC Mr Rocky (Tukutane Meatu tukagawane watoto wetu) ladyfurahia (Sister Upooo?) Nivea (Hajambo KakaKiiza ?) Mrembo by Nature (Miss you), Mentor (Wapi dada yako beibe nasty ?) Block City KakaKiiza (Thanks bro), Lady doctor (Miss kiwowowo) bila kumsahau Preta na mumewe mtu chake Madame B (LongTime mdada) Nicas Mtei(??) charminglady na Elizabeth Dominic (Nawamiss sana jamani) Vin Diesel ???.
Duh ni wengi sana....jamani nawashukuru wote na niliwakumbuka sana hasa The secretary (Salamu kwa mtoto).
Dada zangu Fixed Point Roulette na AshaDii nawamiss sana.
Pia ninawashukuru sana wake zangu kwa mapenzi yao ya dhati kwangu....Asante sana Amyner (Miss you) Chocs (You are ma number 1), Kipipi (Mwaaaaah) Remmy (Thanks for caring).
sweetlady thanks a lot kwako na kwa mumeo nitonye ....!
Bishanga tuonane baadae.
Erickb52,
Asante kwa salamu zako za shukrani,
Najua kilichokukimbiza cc ni pale ulipofumaniwa na Nicas Mtei,
Karibu hayo tutayaweka sawa.
Pia kwenye jina langu hapo juu naomba uweke mpaka ili
niweze kuwa mbali kidogo na Bishanga, hii ni kwa ajili ya
usalama wangu; ......mkewe wa 10 .... Kongosho
amenitishia maisha.
Enjoy your day mwaya.[/QUOTE Mamndenyi unauhakina na unacho kinena ?haya majanga!!!!
hahahahaa Bishanga atakutumia panya waje wakuibie kifanyio.Mamndenyi sitaki nataka hizo nikirudisha majeshi yangu kwa nguvu zote lazima ujikute mokononi mwangu wala usiusemee moyo bana
siku zote nilikuwa najihisi kama nimepungukiwa kitu,mpana nikawa naenda kuomba ushauri kule jf doctor nikizani pengine naumwa kumbe nilikuwa nimekumic mkuu Erickb52 kaka mkubwa sasa naweza kula na kunywa...
Erickb52,
Asante kwa salamu zako za shukrani,
Najua kilichokukimbiza cc ni pale ulipofumaniwa na Nicas Mtei,
Karibu hayo tutayaweka sawa.
Pia kwenye jina langu hapo juu naomba uweke mpaka ili
niweze kuwa mbali kidogo na Bishanga, hii ni kwa ajili ya
usalama wangu; ......mkewe wa 10 .... Kongosho
amenitishia maisha.
Enjoy your day mwaya.[/QUOTE Mamndenyi unauhakina na unacho kinena ?haya majanga!!!!
hahahahaa Bishanga atakutumia panya waje wakuibie kifanyio.
Slave mambo vipi,
unataka kufuturu?
samahani bhana sitaki kufuturu now,siku zote nilikuwa najihisi kama nimepungukiwa kitu,mpana nikawa naenda kuomba ushauri kule jf doctor nikizani pengine naumwa kumbe nilikuwa nimekumic mkuu Erickb52 kaka mkubwa sasa naweza kula na kunywa...
afu siku hizi umepata pa kunibania we ngoja tu siku zako zinahesabika