Die to survive
Member
- Jul 21, 2013
- 44
- 14
na ww uswali kipindi gani?kuna watu saa hizi ndio wanaswali magharib
na ww uswali kipindi gani?kuna watu saa hizi ndio wanaswali magharib
Hicho ulichonacho ni cha kuazima usijidai hahahaaaa tena cha kutoka china hata hakidumu lolAkuuuuuuu..... Nnacho cha ukweeeee, kinantosha.... Hicho chako no thank you!
mzito wa kucheza kiherehere wa kushangiliaHahahahaha...... Bdae ukisikia azana wa kwanza mkekani lol
Unikomeeeee
Nani kakuambia nafikisha miaka 90?
Nina miaka 19 mie usinizeeshe meeeen
Shem una shida gani tena mimi sijafahamishwa about!??
Tena aombe msamaha kwa maandishi
Slave nimerudi kaka wala usijali....tuko pamoja sasa...kazi ni kwako!siku zote nilikuwa najihisi kama nimepungukiwa kitu,mpana nikawa naenda kuomba ushauri kule jf doctor nikizani pengine naumwa kumbe nilikuwa nimekumic mkuu Erickb52 kaka mkubwa sasa naweza kula na kunywa...