Die to survive umekunywa chai kweli?
daku sijala yaani hapa ninampango wa kukazia saumuOooh, sorry bana ila daku umekula?
ukifuturu saaizi penaaaati!
ukifuturu saaizi penaaaati!
kuna watu saa hizi ndio wanaswali magharib
najipaka majivu afu naanza kujisemesha swaumu ya leo kalii!Hahahaha.....ukimaliza kukazia ujipake majivu eeh