Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Sure Gwamahala ?
Dah aisee ni kwa nadra sana kukutana na mtu mmezaliwa pamoja....
Karibu tujumuike aisee hope sweetlady amekusoma na atakukaribisha!
Pamoja daima!

Ni kweli mkuu, 31st July!
Sweetlady kaniambia kama nina kadi ya CHADEMA naweza kuingia nayo...am sure to be there coz kadi ninayo.
It is our great day and we shud thank God for it.
Pamoja ndugu yangu...!
 
Karibu sana mwanachama mwenzetu ....jisikie uko nyumbani!
 
Hehehehehe hilo utalizungumza vizuri akifika Remmy.....we si ulijidai kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa? sasa nini unajishaua hapa ?

Kwani kunanini tena bibie? Nilikuwa namuhudumia mteja, nimepitwa, naona umenitaja sana.
 
Last edited by a moderator:
tunapenda kukutakia maisha marefu na furaha,kumbuka kuoa mapema ili upate kuijaza dunia kama babuuu Asprin pia ukumbuke sana kutumia kinga,ukimwi unatisha ooooh shauri yako!!!! epuka mtandao wapenzi wengi kama mwenzio hapo juu ukiukwaa nenda kapate dawa af usiambukize wenzako,acha kutumia ndumba muombe Mungu atakusaidie.acha uvivu,husda,chuki,choyo,umbea na wivu wa mapenzi utakufa siku si zako...... mtanzania mwezangu na kutuacha wenzio tunakula mabata,makuku, majuice, maubweche, vipopo, kababu na vibibi, ni SISI WAPENDANAO UMMYP MAHASIDI KAZI KWENU...............

HAPPY B DAY erick52 from city of Tanzanite!!!!! ivi unazijua kweli?

hii ni zawadi yetu kwako.

storymaker-buddys-cake-creations-pictures11.jpg
 
Last edited by a moderator:
Happy bday big man!! Remember ur only a year older. When you think like that itakupunguzia stress ya kujiona unazeeka!! :happy:
 
tunapenda kukutakia maisha marefu na furaha,kumbuka kuoa mapema ili upate kuijaza dunia kama babuuu Asprin pia ukumbuke sana kutumia kinga,ukimwi unatisha ooooh shauri yako!!!! epuka mtandao wapenzi wengi kama mwenzio hapo juu ukiukwaa nenda kapate dawa af usiambukize wenzako,acha kutumia ndumba muombe Mungu atakusaidie.acha uvivu,husda,chuki,choyo,umbea na wivu wa mapenzi utakufa siku si zako...... mtanzania mwezangu na kutuacha wenzio tunakula mabata,makuku, majuice, maubweche, vipopo, kababu na vibibi, ni SISI WAPENDANAO UMMYP MAHASIDI KAZI KWENU...............

HAPPY B DAY erick52 from city of Tanzanite!!!!! ivi unazijua kweli?

hii ni zawadi yetu kwako.

storymaker-buddys-cake-creations-pictures11.jpg

Eti ummu kulthum umeniita nikuitike labeka? Afu ndo nini kuharibiana swaumu mida hii?
 
Last edited by a moderator:
utaniharibia swaumu af party ya leo haina kilevi cha aina yeyote labda mje mmeshalewa

Sikushiki mkono jamani......afu sikusema ni kinywaji gani eti? nilitaka tea masala.....hebu do ze nidiful (ukimwona nyani mitaa ya posta kule....hebu malizia hommie Asprin?)
 
Last edited by a moderator:
yaan ww ndio kabisa umeshanitengua swaumu yangu ivi huwezi kuitika eeeeh!mpaka hiyo sauti ya kwa Rum?ume dis......
Oh basi niwie radhi bibie, sitakuitika tena ukiniita.... Ntakuja nshautwika wa kutosha nikifika ni kulala tu (Hapa hommie Kaizer anaweza kunisaidia maelezo zaidi)

Ucpime.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kutakuwepo pia na bendi ya Mashauzi Classic inayomilikiwa na klorokwini pia Zinduna ameahidi kutuletea mchiriku toka zanzibar ! ..... BADILI TABIA na Mamndenyi mtakuwa hai table kumfuta na kumpepea mtoto jasho!
Mtambuzi atatufungulia sherehe na Dark City atatufungia !

We binti mie nimefunga usiniharibie swaumu yangu kuhudhuria shajara zenye rusha rioho za ki-ibilisi..............LOL

kanzu.JPG

Happy Birthday Erickb52
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom