Hahhaa....... mi napigwa matukio ma mwajiri wangu inatosha sana. Bado tena nshapigwa changa la macho kwenye NSSF afu niingie JF kutukanana na ambaye waweza kuta mwanangu. Sasa burdan ntaipatia wapi ukiondoa ile moja ya jioni kwenye stuli ndefu?Ukitaka kuwa kidume kweli lazima ukubali kupigwa matukio...!!! unaenda kuzichukua stress kule then unakuja kuliwazwa na warembo wa chit chat na MMU!!
Hahahaaaaa sitaki robot
Kwanza acheni kuringa ameshakuja mwenyewe (Amyner ) so kama vipi atanigesha we na wenzako endeleeni kuandaa sherehe na maunywaji lol
Utaambatana na mzee nani? Ruhazwe JR au
Ushasahau mi ni mkamba? Utanzania unarudi kwenye box la kura tu!Unatuangusha makamanda lol.....siku uhuru ukipatikana tunakuhamishia kenya
Ngoja namngoja nanii aje ndio nitoke....
Ded: Lala Salama wa Diamond
Heeeeeee.....kumbe hiyo ndio burudani yako???? mi nilifikiri burudan inapatikana tu kwa mama nanihii...kumbe ni kwenye stuli ndefu lol!!!Hahhaa....... mi napigwa matukio ma mwajiri wangu inatosha sana. Bado tena nshapigwa changa la macho kwenye NSSF afu niingie JF kutukanana na ambaye waweza kuta mwanangu. Sasa burdan ntaipatia wapi ukiondoa ile moja ya jioni kwenye stuli ndefu?
Njemba la CCM lililowahi kulamba kura yangu ni Keenja peke yake wakati huoa anagombea ubunge wa Ubungo akitokea kuwa jembe kwenye Halmashauri ya Jiji la Dsm. Mpaka leo naijutia kura yangu! Sikutegemea angekuwa kenge maji wa namna ile... Shenzy zangu mbili unusu binafsi.Afu wewe bado sijakusamehe vile ulimpaga JK kura yako................hivi hapa tuko jukwaa gani tena?
kwakweli ametuangusha.....kama madokta vile!!Unatuangusha makamanda lol.....siku uhuru ukipatikana tunakuhamishia kenya
Hahhaha... Ile ya kwa mama nanihii ni wajibu lakini ukipata vya ChitChat sasa hiyo ndo burdani yenyewe sasa...!:spy:Heeeeeee.....kumbe hiyo ndio burudani yako???? mi nilifikiri burudan inapatikana tu kwa mama nanihii...kumbe ni kwenye stuli ndefu lol!!!
Ila Asprin uwe unaenda hata mara moja moja lolHahhaa....... mi napigwa matukio ma mwajiri wangu inatosha sana. Bado tena nshapigwa changa la macho kwenye NSSF afu niingie JF kutukanana na ambaye waweza kuta mwanangu. Sasa burdan ntaipatia wapi ukiondoa ile moja ya jioni kwenye stuli ndefu?
Njemba la CCM lililowahi kulamba kura yangu ni Keenja peke yake wakati huoa anagombea ubunge wa Ubungo akitokea kuwa jembe kwenye Halmashauri ya Jiji la Dsm. Mpaka leo naijutia kura yangu! Sikutegemea angekuwa kenge maji wa namna ile... Shenzy zangu mbili unusu binafsi.
Sure Gwamahala ?Mkuu kumbe tuna-share birthday! Hongera sana,itabidi na mimi nizamie hapo kwenye sherehe ila kwa mwakani itabidi tuiandae kwa pamoja. Happy Birthday To Us...!!!