Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
17,111
Reaction score
40,420
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎

kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo

Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper

Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima

I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success

Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨

Guys nisaidieni kum wish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
 
Huyu mwamba hana shida na mtu. Super intelligent. Defender...yet humble. Kuna issue ngumu alinisaidia kuitatua free of charge na ndoa yangu ikatulia tulii mpaka leo.

Ishi maisha marefu bro usiye na baya. My wife and I love you deeply kwa ulivyotusaidia. You are a blessing to many. Mungu Akutunze sana! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
He’s such a humble man ❤️
 
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎

kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo

Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper

Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima

I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success

Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨

Guys nisaidieni kumwish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
Mshana Jr
Mungu akupe Maisha Marefu
 
Yupo busy kilingeni leo HAPPY BIRTHDAY 🎉🎂 KAKA MKUU
IMG_4386.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom