Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wewe mtoto uliyezaliwa leo unanichimba mimi kikongwe niliyeanza kula chumvi kabla yako...Mtu mzima kama mimi huwa sitishiwi nyau ntakupa kichapo hadi home kwenu wakusahau.

Hakika wewe utakuwa umezamia kwenye hii sherehe ..... ngoja nimtafute Bishanga aje akutoe nje!
 
Last edited by a moderator:
Wewe mtoto uliyezaliwa leo unanichimba mimi kikongwe niliyeanza kula chumvi kabla yako...Mtu mzima kama mimi huwa sitishiwi nyau ntakupa kichapo hadi home kwenu wakusahau.
Hapa nikinyamaza tu yakianza kuvimba hayo mananii yako usiniombe msamaha kijana oooh
Watu tumezaliwa nautaalamu wala hatuhitaji kufundishwa.....
Pulizaaaaaaa......yanavimba?
 
Ha ha ha haaaa!!! Embu jaribu uone kama sijahamishia sehemu zako za siri usoni. chezea Young_Master weye.
 
Safi sana babu!
Babu nilimtuma Katavi akaniletee mtoto wa kukagua kule jukwaa la mapokezi ila nashangaa tangu aende hajarudi sijui kajibebea mwenyewe?
Lol hebu niletee kitu lainiii kama cacico nije nijipe zoezi siunajua bado mtoto mie

Tehe tehe te heeeeh!! Bado wenye vigezo hawajatia timu vuta subra..
 
Hakika wewe utakuwa umezamia kwenye hii sherehe ..... ngoja nimtafute Bishanga aje akutoe nje!

Wewe nawe umtokea wapi??? Hujui kama mimi ndio mdhamini mkuu wa hii sherehe? Halafu usikute wewe ndio wale wadada wa uswahilini wanabeba wali kwenye mashati wakienda kwenye sherehe za watu.
 
Afu nani kakwambia ulewe mchana wote huu wakati hata mtoto bado hajafika ukumbini ......kazi ipo !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom