Wishing you a Happy Birthday @Erickb52 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sweetlady, Jul 31, 2012.

 1. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Happy birthday to yo !:A S-heart-2::A S-heart-2:

  Happy birthday to you!

  Happy birthday dear Erickb52 happy birthday to yo

  How old are you now, how old are you now, happy birthday, happy birthday , happy birthday to you !

  Kata keki tule, kata keki tule......happy birthday, happy birthday, happy birthday to you !
  :A S-heart-2::A S-heart-2:
  Dear Erickb52 , your birthday is as much a celebration for me as it is for you!

  I wish you the best of birthdays, the best one ever and may each birthday be better than the last!

  Most of all, I hope you will always be as happy as you have made others..............may all your dreams come true not only on your special day but always, all life through!  :A S-heart-2:
  :A S 465: Happy birthday :A S 465:  Wapendwa wote wa chit chat kama mnavyojua kuwa mwenzetu Erickb52 kaachwa solemba na mpenziwe Amyner....hivyo basi kwa heshima na taadhima nawaomba wote tuchukue jukumu la kumfanya mwenye furaha katika siku yake hii muhimu.......mimi na lovely husband Vin Diesel tumeamua kuhakikisha kuwa sherehe hii inafana!......kamati zitakuwa kama ifuatavyo;

  VINYWAJI watakuwepo hawa wafuatao: Asprin , Kaizer, PakaJimmy, Preta na Blaki Womani ( PJ atakuwa msimamizi kwenye hili kundi )


  CHAKULA watashughulikia hawa wafuatao: Kongosho, gfsonwin, cacico, ummu kulthum, charminglady, Remmy na CUTE  MAPAMBO :
  afrodenzi, firstlady1, Kipipi, beibe nasty, King'asti na Meritta (plz hakikisheni ukumbi unapambwa mapema iwezekanavyo na unapendeza )


  Yummy na mumewe Mr Rocky waliahidi kuleta beseni la kumwogesha mtoto Erickb52.....hili mtamkabidhi Kaunga manake ndie aliyepangiwa kazi ya kumwogesha !

  Catherine, Madame B na The secretary nyie mtafuatilia keki kule tulipoweka order na muhakikishe inafika ukumbini kwa wakati !

  Bishanga na nitonye watafanya kazi ya ulinzi manake wamepitia mgambo.....plz hakikisheni hakuna atakayezamia kwenye hii shughuli !


  HYGEIA , Ndahani na Judgement watakuwepo ukumbini kuhakikisha hakuna mgeni atakayekaukiwa na kinywaji!


  Kwa bahati mbaya au nzuri huyu mtoto amezaliwa akiwa na ndevu hivyo basi ni jukumu la Mwanyasi, Mentor na platozoom kuhakikisha kuwa mtoto ameenda saluni !.................mavazi ya mtoto atashughulikia The Finest !

  Katavi na BAGAH watakuwepo ukumbini kwa ajili ya kukusanya chupa zitakazokuwa zimeisha vinywaji !  Erotica, AshaDii na Yummy vile wana bed rest hatutawapangia shughuli yoyote !


  Rejao , Mwali na Ritz watatuandalia futari kwaajili ya wale waalikwa watakaokuwa wamefunga


  Kutakuwepo pia na bendi ya Mashauzi Classic inayomilikiwa na klorokwini pia Zinduna ameahidi kutuletea mchiriku toka zanzibar ! ..... BADILI TABIA na Mamndenyi mtakuwa hai table kumfuta na kumpepea mtoto jasho!
  Mtambuzi atatufungulia sherehe na Dark City atatufungia !

  Nyani Ngabu ameahidi kutoa gari litakalomleta mtoto ukumbini na The Boss ameahidi kutoa gari la kumrudisha mtoto nyumbani baada ya sherehe !


  Ni matumaini yangu kuwa sherehe yetu hii itafana :flypig::flypig::flypig:
  Erickb52 we loves you very much !

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Happy birthday baby Erickb52......

  Naona party imefanikiwa kabla ya kuanza....Endeleeni mie naenda kumuaga bibi kwanza!!

  Babu DC!!
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Someone special as you
  Who always thinks of others
  Who is dedicated to chitchat family
  Deserves a wonderful birthday.
  HAPPY BIRTHDAY MY LOVE Erickb52!
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Dah!
  Happy B'day to baby-adult Erickb52!

  Ngoja nikalete keki narudi badae jamani.
  Ila tukamletee keki yenye Chata ya Azam au Yanga?
  Au Man U?
  Nahtaji mwongozo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Happy birthday
   
 7. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  I'm sorry that I can't be there to share your special day with you
  But I'm thinking about you and hoping that all of your birthday wishes come true.
  HAPPY BIRTHDY! May you live longer and have worth life!
   
 8. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  zitoe hapa tuzijue hizo sababu.
  Mie nataka nimpikie mtoto uji mzuriii, si unajua ni my sweet potato.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mbona wametoa malike jamani, mi nataka kugonga.
   
 10. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hafu Sweetlady hujanitendea haki, mie ndo Nilitakiwa unipe jukumu la kumwogesha mtoto, mie ndo bi mkubwa baada ya Amyner kula kona.
   
 11. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Happy Birthday Erickb52.......the man from A-town
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Erickb52, I give you a birthday hug across the miles.....!
  I hope u know how special you are, and how much I appreciate you and everything you do.
  Happy birthday again!
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Leta keki iliyoandikwa JOHN BOKO !
  Itawapendeza sana members wa Msimbazi .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Alaaa kumbee?
  Sikua nikijua kama wewe ndo UNAUUFAUDU masiku yote haya!
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mhe 52 hongera kuongeza kukula michumvi .
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mbona kama nahs kitu flani?
  Ila ntaileta.
  Azam je?
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Unahisi nini ?
  John Boko ndiye alietupia kambani bao 3 kumfunga Mnyama , siku Mnyama alipocheza na Azam.
  Habari ndo hiyo.
  Semea tu, hawa mineno watamrusha handas mwenye shughuli 52, hence fanya iwe siri yetu! Usin'taje sawa eeh ?
  Ukin'taja nakulima fine !
   
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani Daku tayari, Karibuni. Ila sio kwa wale wasio funga.
  Msilete zile za yule jamaa tulisimuliwa na The Boss. lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Happy, happy, happy Birthday Erickb52.
  May all the desires of your heart materialize...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...