Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Sweetheart!
u r so beautiful my love 4u will always b true,
here's a wish 4 my darling...
may all your dreams come true
i wish u a very happy birthday.
with lots of love and kisses...
from a heart that beats...
just 4 you by me.
Waooooooh!
Dah bby umenifanya niishiwe nguvu kabisa.....hii ni surprise ya ukweli..
I was waiting to hear from you coz ni muda mrefu sasa hujatokeza huku..
Hope sasa wapambe nuksi ( BADILI TABIA sweetlady ) watakuwa washavimba wanakaribia kupasuka....
BTW
Nilikumiss sana mpenzi wangu Amyner na najua bado uko busy we endelea na kazi eee mama!
Love you!
 
Last edited by a moderator:

Remmy eeh, Remmy eeh , we Remmy wewe hebu njoo huku ujionee mwenyewe lol ! Yatakushinda hapo red!
 
Last edited by a moderator:
Heheeee inakulaje kwake lol hapa anatamani kuasuka kwa kuimiss Jei efuu

Afu wewe mbona naitafuta hiyo quote ya Amyner siioni ?.....umeaza 'uhaka' wako hapa eeh?
 
Last edited by a moderator:
Shhhhiiiiiiiii Madame B, usiseme kwa sauti hapo watoto watasikia.... Hebu kam zis wei kwanza tutete kidogo.

Sogea huku nyumanyuma si unajua kwenye sherehe wale wajanja wa mjini huwa tunakaa nyuma kbs tufanye maujanja yetu ya kikubwa.
Kwanza wait,wakezo wako wapi n'sije mpasua mtu humu ukumbini.
Come,come.
 
Last edited by a moderator:
Sogea huku nyumanyuma si unajua kwenye sherehe wale wajanja wa mjini huwa tunakaa nyuma kbs tufanye maujanja yetu ya kikubwa.
Kwanza wait,wakezo wako wapi n'sije mpasua mtu humu ukumbini.
Come,come.

Hahahaha lol wewe kweli kiboko daah nimekuogopa yaani unaiba vya watu afu unataka kuwapasua wenye nacho? lol
 
Sogea huku nyumanyuma si unajua kwenye sherehe wale wajanja wa mjini huwa tunakaa nyuma kbs tufanye maujanja yetu ya kikubwa.
Kwanza wait,wakezo wako wapi n'sije mpasua mtu humu ukumbini.
Come,come.
Dah kwani ukumbini mtoto si ni mimi peke yangu tu?
Hakuna mwingine jamani na mimi pia niko na mtoto mwenzangu wala msijali
 
Heheheeee umeona eeeh lol Madame B nilikuwa nakutania...hivi huniogeshi tena?

Mipango mwenyewe analeta ukaksi tu hapa mbele yangu.
Ngoja kwanza naongea na Asprin kidogo tuangalie uwezekano wa kukutafutia Robot la Umeme special kwa kukuogesha na kukuvalisha diaper's usiku.
Umesikia?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom