Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Erickb52,
hongera kwa kuzaliwa....
pole kwa kupunguza miaka yako ya kuishi ........

................

ila pole zaidi kwa kumwagwa na Amyner....
ulikuwa unatubania pua tu Amyner Amyner Amyner kiko wapi.........

halooooooooooooooooooooooooo............
sweetlady wapi shampeniiiiiiiiiiiiiiii

Heheheheh kabwagwa hadi raha .......sahivi kahamishia majeshi kwa Remmy!..............halo halo!
 
Last edited by a moderator:

Heheheeee asante mwaya....
**********************************************
Hebu nitolee balaaaa BADILI TABIA
Mbona umekuja na maneno yasiyo na upako aisee?
Kwanza wasiliana na Remmy uone kama atakupa hata lisaa moja la kupewa mautamu na mtoto mdogo...siunajua watoto wanaoanza mavitu huwa na mihemko ya hatari yana anaweza kupanda saa tano asbh akashuka saa nane mchana lol na bado analalama umambania
Heheheeee inahuuuu
 
Hahahaha wewe mwenyewe umezaliwa huna upako!
 
Heheheheh kabwagwa hadi raha .......sahivi kahamishia majeshi kwa Remmy!..............halo halo!
Dah sijabwagwa....
Niambie wapi nimebwagwa? Amyner yuko busy na vikao vya bunge so unadhani ndio kanibwaga?
Yuko anawaangalia tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom