The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
kuweka sawa wakati unaiharibu ona Bishanga kaenda kukununulia gari kama zawadi
Sikushiki mkono jamani......afu sikusema ni kinywaji gani eti? nilitaka tea masala.....hebu do ze nidiful (ukimwona nyani mitaa ya posta kule....hebu malizia hommie Asprin?)

Nilikukimbia mkuu nimeona unabugia mno.
Ndio maana nikawa nashangaa kila nikicheck kwenye bench hauonekani..........nikamuuliza mama muuza akanambia umekula chocho
Oh basi niwie radhi bibie, sitakuitika tena ukiniita.... Ntakuja nshautwika wa kutosha nikifika ni kulala tu (Hapa hommie Kaizer anaweza kunisaidia maelezo zaidi)
![]()

Yanakwenda hivyo hivyo charminglady ila jioni natumaini hutakosa !