Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Duh Mentor asante...ngoja nikuje hapo chap walau nionekane mtoto kweli maana haya mandefu lol utadhani mbabu
aaah..samahani hommie kumbe upo r-chuga..ngoja nikuagizie pengine!! BTW: Arusha na baridi hii na umeachwa na Amyner...what alternative method of warming up do u use!??
 
Last edited by a moderator:
aaah..samahani hommie kumbe upo r-chuga..ngoja nikuagizie pengine!! BTW: Arusha na baridi hii na umeachwa na Amyner...what alternative method of warming up do u use!??
Mentor ukixoma sredi nzima utagundua kuwa bardi haimtesi dogo kuna watu wamekufa wameoza. xuala lipo mahakamani xiruhixiwi kuwataja
 
Last edited by a moderator:
umenisikitisha sana, umethubutu kumdhalilisha baby wangu Le Bishanga,Le Bishaija FATAKI la Tandale kwa kumpa nafasi mlangoni ilihali ukijua nyadhifa aliyonayo mtake radhi la sivyo hiyo keki itakuja imepakwa pilipili badala ya icing sugar
 
Hehehee atoto akuwa thatha...
Thank you madame

Shuka basi hapo high table utufungulie myuziki,
nimemuona mtu kama BAK kaja,
ila ukileta usharobaro wa kiChalii utafungua muziki na Robot lako tuliekuletea.
Ona unavyoyumba.
 
Last edited by a moderator:
We binti mie nimefunga usiniharibie swaumu yangu kuhudhuria shajara zenye rusha rioho za ki-ibilisi..............LOL

kanzu.JPG


Happy Birthday Erickb52

Dah! Muziki na makubazi!!!! :confused2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom