Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Anaendaga ila kutoa like na kuweka yale mapicha yake tu.....akifika kule mdomo huwa haufunguki lol!
Hahahaaaaaaa umeona eeeeh
Halafu kule Asprin akienda atakuwa limited kuweka picha hakuna wala kuropoka lol
Mwache akae hukuhuku tu tuendeleee na ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
hongera erick,ni hatua muhim kuendelea kuhesab namba ya miaka uliyobarikiwa kuishi,napenda kuwa sehem ya wanajf wenzangu ktk kukutakia maisha marefu,udum ktk imani yako,mwenyezi mungu akujalie busara na hekima zaidi,nguvu na afya njema,maisha yenye furaha na upendo na amani itawale maisha yako.im proud of you guy erick,ni moja ya wanajf always do shape me in your posts to dif threads.hapy birthday erick n be blecd!!!
Asante sana Mgaya D.W
Nimezipokea baraka kwa mikono miwili na nimefurahi sana toka moyoni!
Mungu atulinde sotetubaki na furaha daima!
Thanks sana Mgaya D.W
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa umeona eeeeh
Halafu kule Asprin akienda atakuwa limited kuweka picha hakuna wala kuropoka lol
Mwache akae hukuhuku tu tuendeleee na ukaguzi

Kule bana watu wote sura ya kazi lol kumquote mtu yenyewe unajiuliza mara mbili mbili tehe tehe.....hakuna kuitana honey, sweetheart wala darling.....kila post lazima uanze na Mkuu lol
 
Popote mlipo Rejao na sweetlady rudini jukwaa la mastress, tuacheni tuendelee na mkakati wa Birthday ya mnywaji mwenzetu Erickb52.:focus:
Safi sana babu!
Babu nilimtuma Katavi akaniletee mtoto wa kukagua kule jukwaa la mapokezi ila nashangaa tangu aende hajarudi sijui kajibebea mwenyewe?
Lol hebu niletee kitu lainiii kama cacico nije nijipe zoezi siunajua bado mtoto mie
 
Last edited by a moderator:
Kule bana watu wote sura ya kazi lol kumquote mtu yenyewe unajiuliza mara mbili mbili tehe tehe.....hakuna kuitana honey, sweetheart wala darling.....kila post lazima uanze na Mkuu lol
Hahaaaaaaaaa
Lol ni kweli aisee yan full heshima kule mh
 
Hata mimi unanifukuza ? Khaaaa kule huwa naendaga siku nikigombana na boss ndio naenda kutolea hasira heee.....leo kwa raha zangu mtoto kazaliwa ya nini nijitie stress jamani?
Unaweza kuta unayetoa nae hasira kule ndio huyo bosi wako so mnaishia kuharibiana mudi tu
 
Safi sana babu!
Babu nilimtuma Katavi akaniletee mtoto wa kukagua kule jukwaa la mapokezi ila nashangaa tangu aende hajarudi sijui kajibebea mwenyewe?
Lol hebu niletee kitu lainiii kama cacico nije nijipe zoezi siunajua bado mtoto mie
Chagua mwenyewe kati ya hawa wawili, princess enny na ummu kulthumu.

baby-J-%26-JackWEB.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaaaa
Lol ni kweli aisee yan full heshima kule mh

Kuna heshima sana asee mie kuna mda huwa nikichangia najisahau naanza na 'haaaaaaa' duuuh najistukia nadelete fasta.....hawachelewi kukufukuza hadharani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom