Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

sweetlady jamani muda unaenda,mwambie Mc atufungulie Myuziki watu tushapombeka bhana.
 
Last edited by a moderator:
OMG!! Hebu niitie wife material wangu cacico anijibie hii abomination.... Hivi ukimix Guiness na Grants unapata nini vile??
mkwara mziitooooooo.....unabugia bia sana...
Ngoja nikukumbushe!!

Kunywa bia kwa maendeleo ya Taifa. Afu we Mentor hawa kinamama walivyo wengi tusipojitahidi kuwahudumia unataka watumie magunzi.

Wapiga bia chini tunapapenda lakini wasokunywa wanapapenda zaidi. Jina la ngono liheshimiwe.
Jiulize mafuta (petrol/diesel) Inavopatikana kwenye visima umangani, inasafirishwa kwa meli mpaka bandarini, then inapelekwa kwenye visima vya kuuzia mafuta lakini bei yake ni rahisi kuliko bia inayotengenezwa Ilala hapo. (lita ya petrol ni hardly 2200 wakati ya Caslte lager ni 4000). Nchi inaendeshwa kwa Pombe!!
Mi nimeacha pombe bana. Nakunywa Grants.
 
Anaendaga ila kutoa like na kuweka yale mapicha yake tu.....akifika kule mdomo huwa haufunguki lol!
Kumbe unanichunguliaga eh? Kule ni kutoana manundu tu wakati huku ni kupeana ma-hug na makisses kwa kwenda mbele. Mwambie kakako Rejao arudi kundini eti.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hahaha wakati serikali inayoongozwa na mchama wake unategemea hela ya bia kujiendesha.... Think Rejao, THINK!!
Babu Asprin naona unafunguka
Heheheeeee karibu Jukwaa la Siasa ukepewe stress za faster lol
Sie twajitwanga ndovu hatuna muda lol kwa raha zetu platozoom njoo na BAGAH
 
Last edited by a moderator:
Hahaha wakati serikali inayoongozwa na mchama wake unategemea hela ya bia kujiendesha.... Think Rejao, THINK!!

Hahahaha mkulu wa nchi yenyewe huwa anaonja kwa afya lol. ....kweli athink twice asee!
 
Kumbe unanichunguliaga eh? Kule ni kutoana manundu tu wakati huku ni kupeana ma-hug na makisses kwa kwenda mbele. Mwambie kakako Rejao arudi kundini eti.

attachment.php
Duh bonge la ngeu.....ningehama chama aisee lol
 
hongera erick,ni hatua muhim kuendelea kuhesab namba ya miaka uliyobarikiwa kuishi,napenda kuwa sehem ya wanajf wenzangu ktk kukutakia maisha marefu,udum ktk imani yako,mwenyezi mungu akujalie busara na hekima zaidi,nguvu na afya njema,maisha yenye furaha na upendo na amani itawale maisha yako.im proud of you guy erick,ni moja ya wanajf always do shape me in your posts to dif threads.hapy birthday erick n be blecd!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom