Mbona umetuingiza chaka

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
Chaka kivipi
IMG_20230514_110355.jpg
 
Hongera kwa kuishi kwake vema, ni sherehe ya pumziko la milele la mtu mwenye akili kubwa mtulivu, akili kubwa za mambo mengi, amejisimamia toka utoto mpambanaji, mtu wa Watu, asiejikweza.

Your Legacy will live forever Lemutuz 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom