Kesi ishakuwa ngumu hii. Sioni ni namna gani mlemavu anapata hisia ya kumsababishia ulemavu mwingine. Kazi kwao acha wapewe wanachotaka, matako ni yao hata hivyo 🙌Kwani walemavu hawana hisia? Khaah
😂😂😂😂
Kesi ishakuwa ngumu hii. Sioni ni namna gani mlemavu anapata hisia ya kumsababishia ulemavu mwingine. Kazi kwao acha wapewe wanachotaka, matako ni yao hata hivyo 🙌Kwani walemavu hawana hisia? Khaah
😂😂😂😂
Kama una familia ikimbize haraka kabla mambo hayajaharibika.Nimepanga nyumba moja hapa Magomeni, vyumba karibu vyote ni mashoga, wazungu hawakauki hapa kuja kupiga miti tunakoelekea ni kubaya sana kama nchi mimi huwa naona mtu ambaye ni shoga hana mchango wowote katika taifa😔
Babes;Kwamba huko hospital wana determine huyu ndiye au siye? Au wote ni mlinganyo tuu?
Temeke huko buza chamaziBabes;
Sijasoma report ya hii study lakini kwa ninavyoelewa, Serikali+wadau kupitia mashirika/mipango kama NASHCoP/TACAIDS etc wanakuwaga na afua mbalimbali ambazo huwa kuna aspect ya kutambua makundi maalumu/makundi ambayo yako vulnerable kulingana na intervention husika.
Makundi hayo hutambuliwa ili wasaidiwe katika changamoto zao (hapa naomba tusiende deep sana) Sasa katika utambuzi huo ndio hupatikana takwimu yao. Hii data nadhani imetokana na utayari wa respondents ndio maana watu wanashangaa iweje TMK iwe na takwimu ya juu kuliko kinondoni ambapo kiuhalisia wote tunaona Kino wanaupiga mwingi? Kwahiyo yawezekana Temeke hao KVP’s ndio wamerespond zaidi, wameonesha ushirikiano na pengine wamekuwa mbele kama “beneficiaries ” wa afua husika (utilization ya aspect za afua husika)
Naelewa Ubishani uliopo kwenye hii mada ni kuhusu actual prevalence vs recorded prevalence na hii haimaanishi kuwa TMK data imepikwa. Possible reasons za disperancy kati ya TMK na Kinondoni inaelezeka.
Kwenye interventions kama hizi inategemea zaidi na utayari wa respondents sababu ni mambo nyeti huwezi kwenda kuwaswaga watu watoke majumbani mwao waje wakupe ushirikiano. Na ndio maana “labda” kwa necha ya watu wa Kinondoni (wanajiweza) au wako rigid(wanajua) data yao haijapatikana kwa ukubwa.
Sasa kwenye reporting huwezi kuanza kujitungia tu kuwa kiuhalisia Kinondoni ndio kuna mashoga wengi kuliko TMK, utareport kile ambacho data yako imekupa.
Strategist7 Hello.
Mwanza!!!!!!Dsm na Mwanza zimeoza kwa Ushoga
Ndiyo yapili hapo kwny listMwanza!!!!!!
Huu ni ushahidi kuwa umeelewa sana.
Unapinga ushoga huku ukijitapa we ni bashaUbasha ni nn na kuendekeza ni nn ?
Boy em kausha mzee unajibiwa unavyo uliza .Unapinga ushoga huku ukijitapa we ni basha
Sio zanzibar?Dsm na Mwanza zimeoza kwa Ushoga
Futa hilo neno la ubasha kwanza ili kulinda hadhi yako maana sex worker na customer wote mashogaBoy em kausha mzee unajibiwa unavyo uliza .
Kigezo kingine cha Dar es salaam kuongoza kwa ushoga ni kuwa karibu na Zanzibar. Dar inafikika kirahisi na wazanzibar wanaofagilia mambo hayo.Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (MHR/MSM).
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NASHCoP), mkoa wa Dar es Salaam unakadiriwa kuwa na wanaume 7,476 wanaoshiriki vitendo hivyo, huku mikoa mingine inayofuata kwa idadi kubwa ikiwa ni Mwanza (3,849) na Dodoma (3,207).
Katika ngazi ya wilaya, tafiti za kiprogramu zimeitaja Wilaya ya Temeke kuwa ndiyo kinara kwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa wanaume wa kundi hili nchini, ikichukua takriban asilimia 63.2 ya maeneo yote ya mikutano (venues) yaliyotambuliwa katika maeneo ya utafiti.
Vigezo Vinavyochangia Uongozi wa Dar es salaam na Temeke
Wataalamu wamebainisha kuwa kuongoza kwa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na:
Kasi ya Ukuaji wa Miji (Urbanization): Maeneo yenye miundombinu ya kisasa na msongamano wa watu huvutia makundi haya kwa urahisi zaidi.
Mwingiliano wa Kijamii na Kiuchumi: Uwepo wa maeneo mengi ya burudani na biashara unarahisisha mikutano na mawasiliano ya kundi hili.
Urahisi wa Huduma: Mkoa wa Dar es Salaam una vituo vingi zaidi vya afya vinavyotoa huduma rafiki kwa makundi maalum.
Kitaifa, idadi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inakadiriwa kufikia 37,229 ifikapo mwaka 2025.
Kwa upande mwingine, mkoa wa Katavi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi nchini, ukiwa na wanaume 164 pekee wanaokadiriwa kuwa katika kundi hili.
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.
#halisimax #tanzania
Mkiwa mnaongea ivi mi napata hamuFuta hilo neno la ubasha kwanza ili kulinda hadhi yako
BRAZA CHOGO Kuna dogo anahitaji sindano ya takoFuta hilo neno la ubasha kwanza ili kulinda hadhi yako maana sex worker na customer wote mashoga
We naye una sura mbaya kama ya Avatar yakoMkiwa mnaongea ivi mi napata hamu
Hawajasema wanawake wanaoshiriki usagaji?