Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Huko mjini iko cult kabisa
Kuna watu waheshimiwa,kuna watu na proffesional zao bankers,IT,managers, wanasiasa,wafanyabiashara
Wasanii nk
Mchk wamepangiwa nyumba wamepewa magari
Siku wakitaka fanya jambo lao pesa wanapewa
Hii vita ngumu na maana tunaipigania kinakfi
Kilichobaki ni kuwaachia na maisha yao

Ova

Vita ya faragha ni ngumu sana aiseeh
 
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia
Ahsante kwa maelezo
 
Uswahilini Temeke wanapakuana mav* sana, hadi watoto.
Kuna vigodoro, kangamoko na pub nyingi sana.
Temeke ina watu wengi mno.
Kinondoni usiangalie pale Kino yenyewe angalia nà Kawe, Mbezi, Mikocheni, Obey, Kunduchi, n.k.
Temeke angalia na Buza, Vituka, Dovya, Tandika, Keko, Kurasini Mbagala, Mtongani, n.k.
Wapi kuna watu wengi, umasikini na sehemu za starehe za Malaya na machoko wengi?

Temeke inaongoza nchi nzima kwa ushoga, wanaume wanafirana km hawana akili nzuri vilee.
Khaaah
 
Sema hii dunia watu wanaostahili kuhurumiwa ni wachache sana zaidi ya nilivokuwa nawaza. Kuna mtu ninamfahamu ni zeruzeru tayari ni mlemavu ila yeye wala hajali, anaamua kwenda kutifuliwa kujitafutia ulemavu mwingine wa matako, halafu kesho anakuja kuomba msaada!!

Ila watu, sasa Takadini yeye hana hisia? Lol
😂😂😂😂
 
Makumbusho tu hapo vijana wengi wanaliwa
Sinza napo balaa
Wenyewe wanakuambia machk wana grade
Sasa watu kama wakina anko t,j.lokole Dr nani sijuwi
Wamepewa airtime watu wanawafatilia wanavutia na maisha yao lazima waingie huko

Ova

😂😂😂😂
 
Temeke inaongoza nchi nzima kwa ushoga, wanaume wanafirana km hawana akili nzuri vilee.
Khaaah
😆😆🙌🙌
Daah!
Much respect mkuu.
Utaishi miaka mingi sana sababu upo free kichwani. Hautingishwi na maneno au mitizamo ya watu. Nadhani umenielewa?
 
Huko mjini iko cult kabisa
Kuna watu waheshimiwa,kuna watu na proffesional zao bankers,IT,managers, wanasiasa,wafanyabiashara
Wasanii nk
Mchk wamepangiwa nyumba wamepewa magari
Siku wakitaka fanya jambo lao pesa wanapewa
Hii vita ngumu na maana tunaipigania kinakfi
Kilichobaki ni kuwaachia na maisha yao

Ova

😂😂😂
 
😆😆🙌🙌
Daah!
Much respect mkuu.
Utaishi miaka mingi sana sababu upo free kichwani. Hautingishwi na maneno au mitizamo ya watu. Nadhani umenielewa?

😂😂😂😂
Yaani mie niendeshwe na kelele za Waja. Km Electromagnetic, na Mechanics niliweza kuzimudu na zikatii, sembuse mibwato ya Waja tena walio desperate km wabongo, labda sio mie.
Nilienda Shule kuchukua ujuzi na maarifa, sio ujinga
😂😂😂
 
Back
Top Bottom