Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Nimezaliwa kinondoni nimesoma kinondoni sijaona sehemu yenye ushoga kama kinondoni, sidhani kama temeke IPO kwenye peak ya ushoga kiasi hiki.

Kinondoni sio sehemu ya kulea watoto ndiyo maana nilihamia chamazi
Hili nakubaliana na wewe kuna wakati niliishi tabata, tabata nayo ikaanza kuharibiwa hasa tabata ilivogeuka uwanja wa starehe nikaona niokoe kizazi changu nikahamia kinyerezi miaka kadhaa mpaka nilipomaliza kujenga kwangu kibamba. Naambiwa pale tabata ushoga siku hizi kama magomeni tu
 
Kinondoni wanajiachia kabisa mambo kwa ushahidi lakini ajabu temeke ndiyo kinara 😆😆maana kuna ulakini na njia zao za kuzopata taarifa, hizi takwimu vitu vingi haijazingatiwa hata kama ni cooked data nani ana prove kuwa ni uhalisia na hivi watanzania ni wavivu kujisomea au kutafuti mkeletewa majibu mnayachukua kama yalivyo ni kama hile tume tu uliyoagizwa kuchunguza yaliyotokea kipindi cha uchaguzi
Kinondoni hawawezi kuzidiwa na wilaya yeyote Daslm uchafu mwingi upo hapo..
 
Ukaribu wa wanawake unaweza kutambulika kama urafiki kuliko wanaume.
Mfano; Wanawake wawili wakibusiana na wanaume wakibusiana. Utawahi kujudge kina nani?

Ni rahisi msagaji kurudi kua mwanamke kamili na kujenga familia kuliko mashoga.
Ni kweli, sema hakuna changamoto kubwa kama kuwa na uhusiano na msagaji narudia hakuna changamoto kubwa sana kama kuwa na uhusiano na msagaji mbaya zaidi usiwe na uelewa kama alikuwa hivyo.
 
Sasa wale wanaosema Dini fulani ndio ya mashoga. Wachukue hizo takwimu wakaangalie dini ipi inakimbiza.
Swala sio udini swala ni la kimataifa vizazi vingi vineharibika enzi na enzi sababu zipo nyingi ni utandawazi,mikumbo so hili janga linamvamia yoyote alikuwepo vurnalable lakini sio dini ndiyo kichocheo no tusifanye hivyo,dini na imani zetu zemasaidia sana kupunguza wimbo la ushoga kwa kusambaza na kuhubiri neno la Mungu
 
Back
Top Bottom