Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Kama hujui ni hivi wanawake wote mnaosagana wote nyie ni Mashoga
Wanaome wote wanaingiliana wote ni Mashoga nikiwa na maana ya kwamba anaeingiliwa na anaingilia wote ni machoko pia mwanamke anaesaga wenzie na anaesagwa wote ni machoko
Kwa wanaume ni mashoga na kwa wanawake ni wasagaji. Tunatumia Kiswahili, sio lugha za mitaani
 
Astakafirilah mtumishi wa Mungu 🙆

Huku wapi tena umenileta

Fire fire fire shindwa kwa damu ya jehova
F83E0C15-5201-4898-88E6-D031460C6B22.jpeg
 
Mkuu sasa unakimbia mpaka lini? Nasikia na kibamba umepigwa hodi, utahama Chalinze?🤣🤣
Hali inatisha sijui Kiama kimekaribia. Kibamba nimejenga kakibanda kangu hakukimbiki, hiyo kasi ya kusambaza huo uchoko iko planned sana kama ishavamia mpaka arusha, kilimanjaro, katavi itakua huku kibamba tunajitahidi tu walau mazingira yasiwe shawishi kwa kizazi chetu.
 
Ni kweli,ila kuna list ukipewa wanaowatindua utastuka 😄
Machk wengi wako karibu na madem maana si makuwadi
Ndomana urafiki wao huwa dam dam

Ova
Hii kuna mzee mmoja akanieleza kuwa "kijana yule mzee fulani ndo godfather wa huyu kijana mwenye makeke na keshamuaribu yule kijana tangu wakati huo anamsomesha" hapo alikua anamuongelea mzee mmoja akiewahi shika nafasi kubwa kubwa tu za kisystem sasa marehemu huyo mzee, nilistuka sana. Huyo kijana aliekua anamsema yupo mpaka sasa mtu mzito tu
 
kuna mndani aliniambia tekeke hata wanawake wanaoinguiliwa 071 kati ya kumi wa nne.

kausha damu
simu .a mikopo
mche..
madera...
shughuli
kuiga
kulelewa na story
kujaribu
uhalalishwaji



na ukitembelea tmk mambo hayo yamejaa
 
Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (MHR/MSM).

Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NASHCoP), mkoa wa Dar es Salaam unakadiriwa kuwa na wanaume 7,476 wanaoshiriki vitendo hivyo, huku mikoa mingine inayofuata kwa idadi kubwa ikiwa ni Mwanza (3,849) na Dodoma (3,207).

Katika ngazi ya wilaya, tafiti za kiprogramu zimeitaja Wilaya ya Temeke kuwa ndiyo kinara kwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa wanaume wa kundi hili nchini, ikichukua takriban asilimia 63.2 ya maeneo yote ya mikutano (venues) yaliyotambuliwa katika maeneo ya utafiti.

Vigezo Vinavyochangia Uongozi wa Dar es salaam na Temeke

Wataalamu wamebainisha kuwa kuongoza kwa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na:

Kasi ya Ukuaji wa Miji (Urbanization): Maeneo yenye miundombinu ya kisasa na msongamano wa watu huvutia makundi haya kwa urahisi zaidi.

Mwingiliano wa Kijamii na Kiuchumi: Uwepo wa maeneo mengi ya burudani na biashara unarahisisha mikutano na mawasiliano ya kundi hili.

Urahisi wa Huduma: Mkoa wa Dar es Salaam una vituo vingi zaidi vya afya vinavyotoa huduma rafiki kwa makundi maalum.

Kitaifa, idadi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inakadiriwa kufikia 37,229 ifikapo mwaka 2025.

Kwa upande mwingine, mkoa wa Katavi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi nchini, ukiwa na wanaume 164 pekee wanaokadiriwa kuwa katika kundi hili.

Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.

#halisimax #tanzania
Tupe takwimu ya Zenji
 
Back
Top Bottom