Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Wametumia njia gani ya ukusanyaji data
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.
mkuu au wamekadiria kidogo?
 
Tamaduni hiphop wametutoa nje ya reli
Naona pina na harakati zake
Kataa machok sasa sijui atafanikiwa

Ova
Kuna mtu nimeona amesema kwa dar tu pekee machoko wanafika hata laki na kuendelea, hii ni hatari sana mzee. Pina hawezi kufanikiwa kama wahuni wanatifua hadi makundi maalum
 
Alafu madogo wengi wanapenda kitonga kichizi.
Huko mjini iko cult kabisa
Kuna watu waheshimiwa,kuna watu na proffesional zao bankers,IT,managers, wanasiasa,wafanyabiashara
Wasanii nk
Mchk wamepangiwa nyumba wamepewa magari
Siku wakitaka fanya jambo lao pesa wanapewa
Hii vita ngumu na maana tunaipigania kinakfi
Kilichobaki ni kuwaachia na maisha yao

Hizi stori zipogo hivi hivi miaka na miaka, ishakuwa zilipendwa
 
Back
Top Bottom