britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,178
- 48,093
HahaWametumia njia gani ya ukusanyaji data

Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (MHR/MSM).
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NASHCoP), mkoa wa Dar es Salaam unakadiriwa kuwa na wanaume 7,476 wanaoshiriki vitendo hivyo, huku mikoa mingine inayofuata kwa idadi kubwa ikiwa ni Mwanza (3,849) na Dodoma (3,207).
Katika ngazi ya wilaya, tafiti za kiprogramu zimeitaja Wilaya ya Temeke kuwa ndiyo kinara kwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa wanaume wa kundi hili nchini, ikichukua takriban asilimia 63.2 ya maeneo yote ya mikutano (venues) yaliyotambuliwa katika maeneo ya utafiti.
Vigezo Vinavyochangia Uongozi wa Dar es salaam na Temeke
Wataalamu wamebainisha kuwa kuongoza kwa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na:
Kasi ya Ukuaji wa Miji (Urbanization): Maeneo yenye miundombinu ya kisasa na msongamano wa watu huvutia makundi haya kwa urahisi zaidi.
Mwingiliano wa Kijamii na Kiuchumi: Uwepo wa maeneo mengi ya burudani na biashara unarahisisha mikutano na mawasiliano ya kundi hili.
Urahisi wa Huduma: Mkoa wa Dar es Salaam una vituo vingi zaidi vya afya vinavyotoa huduma rafiki kwa makundi maalum.
Kitaifa, idadi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inakadiriwa kufikia 37,229 ifikapo mwaka 2025.
Kwa upande mwingine, mkoa wa Katavi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi nchini, ukiwa na wanaume 164 pekee wanaokadiriwa kuwa katika kundi hili.
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.
#halisimax #tanzania
Zamani ndio ilikuwa inaonekana inaongoza kwa uhuni na uselaRipoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (MHR/MSM).
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NASHCoP), mkoa wa Dar es Salaam unakadiriwa kuwa na wanaume 7,476 wanaoshiriki vitendo hivyo, huku mikoa mingine inayofuata kwa idadi kubwa ikiwa ni Mwanza (3,849) na Dodoma (3,207).
Katika ngazi ya wilaya, tafiti za kiprogramu zimeitaja Wilaya ya Temeke kuwa ndiyo kinara kwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa wanaume wa kundi hili nchini, ikichukua takriban asilimia 63.2 ya maeneo yote ya mikutano (venues) yaliyotambuliwa katika maeneo ya utafiti.
Vigezo Vinavyochangia Uongozi wa Dar es salaam na Temeke
Wataalamu wamebainisha kuwa kuongoza kwa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na:
Kasi ya Ukuaji wa Miji (Urbanization): Maeneo yenye miundombinu ya kisasa na msongamano wa watu huvutia makundi haya kwa urahisi zaidi.
Mwingiliano wa Kijamii na Kiuchumi: Uwepo wa maeneo mengi ya burudani na biashara unarahisisha mikutano na mawasiliano ya kundi hili.
Urahisi wa Huduma: Mkoa wa Dar es Salaam una vituo vingi zaidi vya afya vinavyotoa huduma rafiki kwa makundi maalum.
Kitaifa, idadi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inakadiriwa kufikia 37,229 ifikapo mwaka 2025.
Kwa upande mwingine, mkoa wa Katavi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi nchini, ukiwa na wanaume 164 pekee wanaokadiriwa kuwa katika kundi hili.
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.
#halisimax #tanzania
Cha ajabu TMK inaongozwa Kwa misikiti mingi pia, sijui Kuna uhusiano gani na huu ushoga!Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (MHR/MSM).
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NASHCoP), mkoa wa Dar es Salaam unakadiriwa kuwa na wanaume 7,476 wanaoshiriki vitendo hivyo, huku mikoa mingine inayofuata kwa idadi kubwa ikiwa ni Mwanza (3,849) na Dodoma (3,207).
Katika ngazi ya wilaya, tafiti za kiprogramu zimeitaja Wilaya ya Temeke kuwa ndiyo kinara kwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa wanaume wa kundi hili nchini, ikichukua takriban asilimia 63.2 ya maeneo yote ya mikutano (venues) yaliyotambuliwa katika maeneo ya utafiti.
Vigezo Vinavyochangia Uongozi wa Dar es salaam na Temeke
Wataalamu wamebainisha kuwa kuongoza kwa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na:
Kasi ya Ukuaji wa Miji (Urbanization): Maeneo yenye miundombinu ya kisasa na msongamano wa watu huvutia makundi haya kwa urahisi zaidi.
Mwingiliano wa Kijamii na Kiuchumi: Uwepo wa maeneo mengi ya burudani na biashara unarahisisha mikutano na mawasiliano ya kundi hili.
Urahisi wa Huduma: Mkoa wa Dar es Salaam una vituo vingi zaidi vya afya vinavyotoa huduma rafiki kwa makundi maalum.
Kitaifa, idadi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inakadiriwa kufikia 37,229 ifikapo mwaka 2025.
Kwa upande mwingine, mkoa wa Katavi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi nchini, ukiwa na wanaume 164 pekee wanaokadiriwa kuwa katika kundi hili.
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.
#halisimax #tanzania
Huu ni msiba miaka ya mwanzo ya tisini Dar es salaam kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa akiitwa Faruku na alikuwa akionekana nyakati za sikukuu kidongo chekundu gerezani kwenye viwanja vya michezo watu wote walikuwa wakimshangaa kwa miondoko yake na michezo yake alikuwa akihusishwa na ushoga.Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (MHR/MSM).
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NASHCoP), mkoa wa Dar es Salaam unakadiriwa kuwa na wanaume 7,476 wanaoshiriki vitendo hivyo, huku mikoa mingine inayofuata kwa idadi kubwa ikiwa ni Mwanza (3,849) na Dodoma (3,207).
Katika ngazi ya wilaya, tafiti za kiprogramu zimeitaja Wilaya ya Temeke kuwa ndiyo kinara kwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa wanaume wa kundi hili nchini, ikichukua takriban asilimia 63.2 ya maeneo yote ya mikutano (venues) yaliyotambuliwa katika maeneo ya utafiti.
Vigezo Vinavyochangia Uongozi wa Dar es salaam na Temeke
Wataalamu wamebainisha kuwa kuongoza kwa Dar es Salaam na Wilaya ya Temeke kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na:
Kasi ya Ukuaji wa Miji (Urbanization): Maeneo yenye miundombinu ya kisasa na msongamano wa watu huvutia makundi haya kwa urahisi zaidi.
Mwingiliano wa Kijamii na Kiuchumi: Uwepo wa maeneo mengi ya burudani na biashara unarahisisha mikutano na mawasiliano ya kundi hili.
Urahisi wa Huduma: Mkoa wa Dar es Salaam una vituo vingi zaidi vya afya vinavyotoa huduma rafiki kwa makundi maalum.
Kitaifa, idadi ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inakadiriwa kufikia 37,229 ifikapo mwaka 2025.
Kwa upande mwingine, mkoa wa Katavi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi nchini, ukiwa na wanaume 164 pekee wanaokadiriwa kuwa katika kundi hili.
Takwimu hizi zimepatikana kupitia mbinu ya kisayansi ya Anchored Multiplier inayounganisha takwimu za vituo vya afya (DHIS2) na makadirio ya wataalamu, ikilenga kusaidia serikali na wadau wa afya kupanga rasilimali na afua za kuzuia maambukizi ya VVU kwa usahihi zaidi.
#halisimax #tanzania
Yaani mtu anaamua apokee libolo fc kisa hataki kufanya kazi daah ni huzuni kweli kweliTmk inaongoza kwa watoto kuanza ushoga udogoni sababu ya mazingira.
Kinondoni wengi uanza ushoga ukubwani sababu ya tamaa ya pesa
😂😂😂Mkiwa mnaongea ivi mi napata hamu
Nisijue mapenzi ya jinsia 1 mie? Em utulie nikupe somo bwashee.Kama hujui ni hivi wanawake wote mnaosagana wote nyie ni Mashoga
Wanaome wote wanaingiliana wote ni Mashoga nikiwa na maana ya kwamba anaeingiliwa na anaingilia wote ni machoko pia mwanamke anaesaga wenzie na anaesagwa wote ni machoko
Bora umuambie huyo, yaani anadhani yeye anajua mapenzi ya jinsia 1 kuliko mie. LolKwa wanaume ni mashoga na kwa wanawake ni wasagaji. Tunatumia Kiswahili, sio lugha za mitaani
😂😂😂 si umtaje tu ni Minister kwa sasa. LolHii kuna mzee mmoja akanieleza kuwa "kijana yule mzee fulani ndo godfather wa huyu kijana mwenye makeke na keshamuaribu yule kijana tangu wakati huo anamsomesha" hapo alikua anamuongelea mzee mmoja akiewahi shika nafasi kubwa kubwa tu za kisystem sasa marehemu huyo mzee, nilistuka sana. Huyo kijana aliekua anamsema yupo mpaka sasa mtu mzito tu
😂😂😂😂Usiruhusu mwanao aende zanzibar utampoteza. Kuna li uncle langu lilimaliza UDSM mambo ya fine arts saivi linazibuliwa mitaro na lipo Zanzibar
😂😂😂 je km haisimami?Mtu kama aggrey yule mwamba kabisa kwenda hewani na ndevu zake anakushika kifua nawe unahamaasika just imagine?
Harufu ya poop tu ikianza unaweza hama faster vipi kuchezea😭
Yako tu unaogopa kuishika,unapata wapi ujasiri wa kuishika ya mwingine Tena mwamba miraba minne..
Haya mambo yanafikirisha sana
Hakuna tofauti,KWani mkundugu wa mwanamke na mwanaume vko na utofauti?
😂😂😂 watu mmevurugwaa.kesho kwenye magazeti.
Mwananchi
HATIMAYE TEMEKE YAIPIKU KIDONDONI KWA KUFUKUA TOPE
Nipashe
TEMEKE KINARA KWA KUSUKUMA MBOLEA
MwanaHALISI
TEMEKE NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMORA
Mtanzania
TEMEKE MABEGANI
Uhuru
P DIDDY AIWEKA TEMEKE MABEGANI