Wewe ndio uniambie sasa
Mi nahisi umechachuka, vile nilivyokuwa nahisi zamani kumbe sio.
Wewe ndio uniambie sasa
Aww am so good 😍
Aww thanks tajiri😁
Yote mtakunywa supu.Umejipakulia minyama
Zamani si ulijua mi mwanaume 😁😁Mi nahisi umechachuka, vile nilivyokuwa nahisi zamani kumbe sio.
Zamani si ulijua mi mwanaume 😁😁
Unakana sioMimi sina utajiri wowote Seran.
Ni ujinga ulio pindukiaHuyo nilimuona anafanana tabia na ka mbwa kamoja hivi (chihuahua) kafatilie utakubalina na mimi..!!
Yani ni kasumbufu na kachokozi muda wote..!! Halafu ka koko 😹
HaswaaKila memba ana ujinga na ubora wake.
Labda kumkubali mtu bila sababu
Chiwawa niaje? 😹Ni ujinga ulio pindukia
Asante, nimepokea binti yangu 😘😘🥰😍Ngoja nimuite Aunty yangu
Binti wa zamani 🥳pokea maua yote kwa nyuzi zako humuuuu🔥🚫😘
Walevi wote wa keupeEti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Kwenye ukweli tuseme.
Kuwa na mfululizo mzuri na wa muda mrefu JF sio jambo rahisi.
Wachache sana ndio wameweza.
Inachukua akili, muda, kujitoa, kuthamini na kupenda unachotoa kwa jamii.
pokeeni maua yangu Mshana Jr na Pascal Mayalla.
Na future ijayo ya kina Robert Heriel Mtibeli na ShesRise_1 .