Who is your best JF member of all time?

Who is your best JF member of all time?

Sijaona Goat , sababu kila mtu ana angle yake ambaye anafiti vyema .

Ingekuwa kwa jukwaa fulani ingekuwa rahisi, ila uGoat kwa ujumla kwa upande wangu hakuna . Mfano Kuna mtu yeye mkali wa Geopolitics tu lakini upande wa Teknolojia hamna kitu , mwingine sports na entertainment tu .
 
Haya ni majibu mazuri mkuu, Niko upande wako.
 
haszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.

Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..

Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.

social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..

Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom