Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,964
- 131,411
Ni role model wa wengi nchini 🔥Huwa anakutumia video zake anavyopuchuka?Jamaa is beyond mipuchuko.Gone too farther!
Ni role model wa wengi nchini 🔥Huwa anakutumia video zake anavyopuchuka?Jamaa is beyond mipuchuko.Gone too farther!
Hapana mkuu.Ila mkuu na ile id nyingine ya Ayatollah the bird ni yako?
InafikirishaHapana mkuu.
Mimi ndo rolimodo wa yule jamaa. Ananihusudu sana 😎Inafikirisha
😁😁😁 Ni mtu na dadake hao
Halafu mzigua ni mpole hajachachuka hivi 😁
MALCOM LUMUMBA tumemis nyuzi zako.Ahsante Sana!
watu hatufanani aisee 😁.
Kuna uzi nimeuona uandishi unafanana. Viswanglish kibao, kujificha hawezi.Ana ban ila yupo na makoti mapya..!! 😹
Halafu mzigua ni mpole hajachachuka hivi 😁
Wewe ndio uniambie sasaWewe ni mpole au umechachuka?