Kuna watu wanapata matatizo ya Figo bila hata kuonja pombe maisha yao yoteDialysis ni ghali kuliko keupe kenyewe. Kwenye kuzungusha mezani mnakuwa wengi ila kwenye kuchujwa damu masaa kadhaa kwa wikiara tatu au zaidi unakuaa alone na upweke kama wotee
Sasa Mshana Jr na jtano yote hii uko na keupeUsikaseme vibaya kwakuwa hukapendi
Ama kamekushinda
Au kamekuzingua
Na pengine ulizidisha kipimo kwenye offer
Na au ulitaka kuleta upinani wa kuonesha umwamba ukakameza kavukavu gudugudu wakati msosi ulihemea🤣View attachment 3686410View attachment 3686411View attachment 3686412
Kanuni ya Kiafya ya 1-2-3 ya Unywaji SalamaDialysis ni ghali kuliko keupe kenyewe. Kwenye kuzungusha mezani mnakuwa wengi ila kwenye kuchujwa damu masaa kadhaa kwa wikiara tatu au zaidi unakuaa alone na upweke kama wotee
True💪🏽Kuna watu wanapata matatizo ya Figo bila hata kuonja pombe maisha yao yote
Mwenyekitii eeeh😂Kanuni ya Kiafya ya 1-2-3 ya Unywaji Salama
Wataalamu wa afya duniani hutumia Kanuni ya 1-2-3 ya Pombe kama mwongozo wa kuzuia ulevi wa kupindukia na kulinda afya ya mtumiaji
So you're preparing for the solution 😝Any time is keupe time😂
View attachment 3686425
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weka humu 🗑️
Zanzi yenyewe tayari ina konyagi ndaniUkisema tu sasa napumzika kidogooo pombe hapo hapo lazma shetani ajiinue.
Anyway nimeiona nkatamani kuimix na zanzi
#shindwashetani
Nimekuja faster nikidhani ni kasichane keupe!