Who is your best JF member of all time?

Who is your best JF member of all time?

Kwenye ukweli tuseme.

Kuwa na mfululizo mzuri na wa muda mrefu JF sio jambo rahisi.
Wachache sana ndio wameweza.
Inachukua akili, muda, kujitoa, kuthamini na kupenda unachotoa kwa jamii.

pokeeni maua yangu Mshana Jr na Pascal Mayalla.

Na future ijayo ya kina Robert Heriel Mtibeli na ShesRise_1 .
Thank you bro
Mwaka wa Mbele I really appreciate you noticing it and choosing to say something even though you could have easily stayed quiet I truly respect that 🙏
 
secretarybird, ni mtu noma kweli kweli! Najua hata wale wakalia misumari, ambao huwapa za uso bila kificho, wanatambua ya kwamba mtu huyu ni GOAT, ila jukwaani huifanya kumpinga, ndiyo maana kila asubuhi humwendea PM kimya kimya na kumpea shikamoo yake.

Yeye ni Ayatollah wa humu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom