Who is your best JF member of all time?

Who is your best JF member of all time?

ERT

Hii miamba ina madini makali na akili kubwa sana
Kuna member mmoja humu alikua anajiita The coded au Coded siikumbuki vizuri username yake,sijawahi kuona kichwa kama yule jamaa hapa JF,sijui alipotelea wapi tu,

Kama kuna mtu anaikumbuka vizuri user name ya huyu jamaa,aiweke hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom