Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,947
- 136,695
Huyo mwanamke akishikilia kitu haachii! Kwanza ametangaza kunimwaga kwa sababu sikumsaidia kaka yake alipoumwa. Mimi siku hizi ni baachela. 😀Umueleweshe sasa mkeo, yeye ukicheka na member wa kike anahisi anaibiwa..!! 😹