Who is your best JF member of all time?

Who is your best JF member of all time?

Sijaona Goat , sababu kila mtu ana angle yake ambaye anafiti vyema .

Ingekuwa kwa jukwaa fulani ingekuwa rahisi, ila uGoat kwa ujumla kwa upande wangu hakuna . Mfano Kuna mtu yeye mkali wa Geopolitics tu lakini upande wa Teknolojia hamna kitu , mwingine sports na entertainment tu .
Mimi je THE GREAT GENIUS OF ALL TIME.😁
 
Beautiful boy haszu njoo upokee maua yako mdogo wangu..!!

Kumbe tunaokuelewa tupo wengi japo wengine wanajificha..!! 😹

Haszu kwakweli mi mwenyewe nampenda anaishi maisha yake na anajua kukera 😹
Basi tupo wawili fans wake,na tutamlinda kwa wivu mkubwa mno.
Watu wamimbully tunanunua vita,deal??
 
Huyo nilimuona anafanana tabia na ka mbwa kamoja hivi (chihuahua) kafatilie utakubalina na mimi..!!

Yani ni kasumbufu na kachokozi muda wote..!! Halafu ka koko 😹
Aise 😁😁😀 kumbe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom