Who is your best JF member of all time?

Who is your best JF member of all time?

Ungejifundisha kuandika kwanza,
Wewe subiri uzi wa kuwataja wajinga na wapumbavu ndio utachukua kombe,
Vipi yule Mungu mtu wenu aliyesema kasulubiwa na kufa na dhambi zako halafu anakwambia pia ''Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hiyo itafika''

Wewe Yahudi mweusi wa Nzega subiri uzi wenu wa mapunguani ndio utatajwa.
Swali lake linatokana na wewe kushindwa kujua alisulibiwa kwa sababu gani ...kama unataka naweza kukupa elimu na kukujibu ..ila kwa kifupi soma waisrael zamani walikuwa wanatoa katika misingi mi 3
1 zaka
2 sadaka ya upatanisho
3 sadaka ya kawaida

Hivyo tunaona sadaka ya upatanisho ndiyo iliyo tolewa kwanza kabla ya sadaka zingine ...NA UPATANISHO MAANA YAKE NI MUNGU KUONDOA HASIRA YAKE JUU YA DHAMBI ULIZO FANYA ILI AWEZE KUKUSIKILIZA NI LAZIMA GADHABU YAKE JUU YAKO IWE IMEONDOKA KWANZA KWA SABABU GADHABU HUZUIA KUSAMEE ..HIVYO YESU ALISULUBIWA ILI GADHABU YA MUNGU ISIWEPO NDANI YAKE ILI TUWEZE KUPOKEA TOBA TUTUBUPO NA KUXIACHA NJIA OVU ...ZAMANI KABLA YA YESU KUSULUBIWA GADHABU YA MUNGU JUU YA DHAMBI ZETU ILIKUWA NDANI YAKE ILA YESU ALIPO JITOA SADAKA HIYO GADHABU IMEONDOSHWA NDANI YA MUNGU NA KUWEKWA PENDENI IKIENDELEA KUJAA HADI PALE MUNGU ATAKAPO KINYWEA KIKOMBE CHA GADHABU YAKE NA HIVYO GHADABU YAKE KURUDI NDANI YAKE , HAPO NDIYO UTAKUWA MWISHO WA TOBA HATA UTUBU VIPI HAUTA WEZA KUPOKEA MSAMAA ....NDIYO MAANA YA HAYA MAANDIKO ...MILANGO YA HEKALU IKAWEKWA MOTO ..HUO MOTO NI GADHABU YA MUNGU ..KAKUNA ALIYE NJE YA HEKALU HATAKAYE WEZA KUINGIA NDANI YA KEKALU ..YAANI HAKUTA KUWA NA TOBQ TENA.
 
Mbona mzigua90 kapoa hana hekaheka kama Lamomy sasa..!! 😹

Lamomy mi huwa namfananisha Labella

Mie nimefananisha tu Lamomy kwasababu ni kweli huwa nawafananisha, hiyo yeye kupoa kuliko wewe si unaona mi nimejifananisha na Khantwe lakini mimi natukana yeye hatukani, mimi natandika mikeka yeye sidhani kama anajua hayo mambo

Kufananisha haimaanishi ni tabia sawa kwa 100%
 
Haya matapishi yako hakuna atakaye hangaika kuyasoma,ni sawa na hadithi za magazeti ya Shigongo ya enzi zile,
Issue za kidini hujibiwa kwa maandiko na sio kuja na kuleta matapishi yako hapa,

Ndio maana nikakwambia subiri uzi wa wajinga na wapumbavu ndio tutakutaja,
Vipi ili id yako ya Echolima1 huitumii siku hizi baada ya kupelekewa moto?
 
Nakushauri soma
 
Mie nimefananisha tu Lamomy kwasababu ni kweli huwa nawafananisha, hiyo yeye kupoa kuliko wewe si unaona mi nimejifananisha na Khantwe lakini mimi natukana yeye hatukani, mimi natandika mikeka yeye sidhani kama anajua hayo mambo

Kufananisha haimaanishi ni tabia sawa kwa 100%
Mi nataka kujua kilichofanya ukatufananisha 😹

Kuna kitu lazima ulikiona, Hebu niambie basi.!.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom