Tresor Mandala best member.
Hata sielewi nibadilishe nini 😁Badirika sasa, sio vizuri. 😊
🙏😍asante sana MkuuPeople i approve of ;
Chica Gee na Mallerina .
binti kiziwi
Chivundu
People i approve socially;
Mbaga Jr nsipo ona comments ya mbaga naona jf haiko Sawa 😂.
Na yule secretarybird 🤣🤣.
Much respect babu yangu mla bata.
Ushimen 😁
NB: na wengine wote ni GOAT humu, kila mtu anamchango wake.
Hizi mada muaachie New members wa JF.Eti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Asante sana🙏😍
HakunaSasa shida ipo wapi?
Unanichora sana unajua unanifanyaga kama matrako yako mpenzi wa halal ni ephen_ basi mimi nikanyage makanyagio yangu nikatulie kwangu niwaze lifeBabe umeamka salama?
Nani akutaje sasa unatakiwa utaje kama kawaida yako mzee wakujikombaakama sijatajwa siwezi kutaja
Hahahaha ,si kweli, ijumaa inaendeleaje?Nani akutaje sasa unatakiwa utaje kama kawaida yako mzee wakujikombaa
nimeibiwa mume sasa nahisi niko single wewe umeoa huna dili ngoja niolewe tena mara ya tisa nione ndoa. Za kislamu ni rahisi unaolewa leo kesho unaondokaHahahaha ,si kweli, ijumaa inaendeleaje?
Hii hati yako ya mashtaka ,hapo mwanzo,hujaweka sawanimeibiwa mume sasa nahisi niko single wewe umeoa huna dili ngoja niolewe tena mara ya tisa nione ndoa. Za kislamu ni rahisi unaolewa leo kesho unaondoka
Hahahaha, mie naoa kimila,wake hata sita, bado nafasi 5 za kujazwa ziko emptynimeibiwa mume sasa nahisi niko single wewe umeoa huna dili ngoja niolewe tena mara ya tisa nione ndoa. Za kislamu ni rahisi unaolewa leo kesho unaondoka