'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

maxime anasema haiwezekani kukitolea kitu justification kuwa kina exist bila kutumia five sense organs.

Je,wewe unasemaje juu ya hilo?
Hiyo milango ya fahamu(sense organs),ni nani aliyoifanya ikawa milango ya fahamu.Tumjuwe kwanza aliyefanya iwepo,nani aliyeifanya ikawepo.
 
Kama utakumbuka nimewahi kuleta uzi wa makosa 10 aliyotenda Mungu, kosa la kwanza na kubwa kabisa ni kumuumba Shetani.Kwa nini Mungu alimuumba Shetani ili hali alijua Shetani atakuja kuasi na kumpotosha Binadamu?

Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Kwa nini Mungu asingemwekea Binadamu immunity dhidi ya dhambi na dhidi ya mbinu za Shetani?

Shetani ni Kiumbe mmoja kati ya zaidi ya Vigintillion ya viumbe wenye utashi walioumbwa na Mungu. Sasa Mungu si mwanadamu Hata aogope kuumba kwa sababu kiumbe kitaasi. Vinginevyo ukubali kuhoji infiniteness of his plans and supernatural intelligency with our finite mind. God did not create the world for robots but for us. Ilikuwa rahisi Kumkabidhi hii dunia Hata Ng'ombe au Panya Kuitawala lakini kwa utashi wake akaamua wewe mwenye uhuru hata wa kuhoji kazi zake uwe ndio mtawala.
 
Wapi?

Unaweza kuweka link au post number?

Mbona unaandika kama ngumbaru kwa neno "kule" bila kuweka kielelezo kama link au post number katika ulimwengu huu wa hyperlink?

Hujui ku link? Hujui kuhesabu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Angalia ulichojibu 834, ulichoulizwa mwanzoni mwa post no 871 na ulichojibu 875.
Naona unajibu hadi unapoteza mwelekeo wa mazungumzo na unaozungumza nao, Hi ni kwa sababu umechagua njia nyepesi sana ya kuuliza maswali bila kueleza mbadala wa hicho usichokamini hata pale unapohitajika kutoa alternatives zako.

Karibu,
 
e5ef07ced1769c265b09b65d6955e591.jpg

maxime anasema haiwezekani kukitolea kitu justification kuwa kina exist bila kutumia five sense organs.

Je,wewe unasemaje juu ya hilo?
 
Itakuwa wewe umekuta mjadala katikati,bila kujuwa umeanzia wapi.Mjadala ni kuhusu Mungu,kuleta mabaya,ili kitu tukijuwe ni kibaya,kuna uthibitisho upi ni kibaya,kilicholetwa na Mungu.
Kwa upande wako jibu la Mabaya yanaonekana kwa wote,yanasababishwa na sisi wanadamu wenyewe.Hilo tetemeko,lisingekuwako ila ni binadamu wenyewe,baada ya kutumia silaha kali za maangamizi,fikiria majaribio ya kurusha silaha kali zilizofanywa na Korea,kwa upande wa Korea wameona ni kitu kizuri,lakini kwetu ni huzuni kubwa,tumepoteza wapendo wetu(usitukumbushe,bado tuna huzuni kubwa).
Maradhi mbalimbali yanaowasumbua binadamu,wataalamu wanatuambia asili yake ni vitu vilivyotengenezwa na binadamu kwa mfano Cancer,Ukimwi,Ebola,Ndui nk.
Ukija upande wa kuzaliwa vilema,wataalamu wa tiba wote wanasema mtoto akizaliwa na kasoro yoyote ni kosa la kibinadamu,ima mama mjamzito amechelewa kwenda clinic au ametumia madawa bila ushauri wa wataalamu wa uzazi.
.
Kwa hiyo wanadamu ndio wanaumba bacteria, virus, na kusababisha volcanic eruptions? This is not your place. You can just stay a spectator...
 
Angalia ulichojibu 834, ulichoulizwa mwanzoni mwa post no 871 na ulichojibu 875.
Naona unajibu hadi unapoteza mwelekeo wa mazungumzo na unaozungumza nao, Hi ni kwa sababu umechagua njia nyepesi sana ya kuuliza maswali bila kueleza mbadala wa hicho usichokamini hata pale unapohitajika kutoa alternatives zako.

Karibu,
Nilichojibu ni nini?

Utanipaje mimi kazi ambayo unataka kufanya wewe?

Umeshindwa ku copy kitu cha post moja ukakiweka na cha post nyingine na ukaandika objections zako kwa nini sitakiwi kujibu hivyo?

Wewe unayeamini Mungu ambaye ana contradiction imani yako hiyo ina muelekeo wa wapi kama si kwenye uongo?

Kuuliza maswali hata Socrates aliuliza, kuna ubaya gani kama anayeulizwa majibu anayajua?
 
Kwa mujibu wa sheria za nchi kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote anachotaka ata kama anataka kuabudu chura mradi tu asiingilie imani ya mtu mwingine.
Hakuna suala la kuthibitishiana kuwa imani ipi ni ya kweli ama la.

Wapagani wenzako Kenya wamekuja na dai la kitaka neno Mungu liondolewe katika wimbo wa Taifa wa Kenya kwa vile hawamtambui Mungu.Natoa wito kwenu nyie wenye kubisha uwepo wa Mungu muungane mtetee haki zenu hapa Tanzania pia.

You are stating the obvious. Nimeshasema kwamba ninaheshimu Universal Declaration of Human Rights. Sasa unanitajia habari ya sheria za mtu kuheshimu uhuru wa kuabudu kwani mimi sizijui?

Kwani mimi nimemzuia mtu kuabudu anachoamini hapa?

Amini chochote. Ukitaka kuamini mavi ni Mungu kivyako.

Tatizo ukija hapa JF na kusema mavi ni Mungu, na mimi najua mavi si Mungu, ni lazima niseme kwamba mavi si Mungu.

Hilo halikuingilii uhuru wako wa kuyaabudu mavi, unaweza kuendelea kuyaabudu mavi.

Elewa tofauti ya uhuru wa kuabudu kwako na uhuru wa kujieleza kwangu.

Sijakuingilia kanisani kwako au msikitini kwako au nyumbani kwako nikakukataza kuabudu unavyotaka.

Ukitaka kuleta mjadala JF, maswali kuhusu imani yako unayoileta JF ni kitu sawa kabisa.
 
Shetani ni Kiumbe mmoja kati ya zaidi ya Vigintillion ya viumbe wenye utashi walioumbwa na Mungu. Sasa Mungu si mwanadamu Hata aogope kuumba kwa sababu kiumbe kitaasi. Vinginevyo ukubali kuhoji infiniteness of his plans and supernatural intelligency with our finite mind. God did not create the world for robots but for us. Ilikuwa rahisi Kumkabidhi hii dunia Hata Ng'ombe au Panya Kuitawala lakini kwa utashi wake akaamua wewe mwenye uhuru hata wa kuhoji kazi zake uwe ndio mtawala.
Haya maelezo umeyapata wapi?

Una uhakika kwamba wafia dini wengine duniani wanafahamu haya maelezo?

Kwa nini tukihoji mambo ya Mungu mnamtete nyie? kwa nini asijitokeze aje kujibu hizi tuhuma zinazomkabili?

Kama Mungu hakuogopa kumuumba shetani, kwa nini anakataza kazi za shetani? huoni huko ni kumuogopa shetani?
 
Nilichojibu ni nini?

Utanipaje mimi kazi ambayo unataka kufanya wewe?

Umeshindwa ku copy kitu cha post moja ukakiweka na cha post nyingine na ukaandika objections zako kwa nini sitakiwi kujibu hivyo?

Wewe unayeamini Mungu ambaye ana contradiction imani yako hiyo ina muelekeo wa wapi kama si kwenye uongo?

Kuuliza maswali hata Socrates aliuliza, kuna ubaya gani kama anayeulizwa majibu anayajua?
hahahaa
Wapi?

Unaweza kuweka link au post number?

Mbona unaandika kama ngumbaru kwa neno "kule" bila kuweka kielelezo kama link au post number katika ulimwengu huu wa hyperlink?

Hujui ku link? Hujui kuhesabu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuweka link au post number?
umeshapoteza mwelekeo mkuu.
I know nothing except the fact of my ignorance. Socrates, from Diogenes Laertius, Lives of Eminent Philosophers
Kulingana na Socrate, kwa nini usiseme you know nothing about causative agent zaidi Ya Mungu ili utanue ubongo kwa kusaka maarifa zaidi. Pia unatumia uhalali ghani kuamini Socrate practices (470/469 – 399 BC) kuwa sawa huku Unaona za yesu ambaye alikuja baada yake na Kwa kauli zake anarefer Mwanzo na Uumbaji kama ni kitu halisi na ni Kaz ya Mungu. Hata Paulo alipopanda pale kwenye kibweta ambacho kama sio msomi wa logic na philosophy uliotukuka huwezi kusimama hapo(aeropagus), aliwashinda hao Greece philosophers na wengi wakamfuata yeye na Kristo. na hoja aliyowashindia ni Creation na Uwepo wa Mungu Muumbaji. Tafakari
 
Ata hueleweki unasimamia nini?
U have flight of ideas.
1.Mara huamini Mungu yupo
2.Mara unataka uthibitisho wa uwepo wa mungu
3.Mara Declaration of human rights
kaisha poteza mwelekeo anarukaruka tu, Ila yote haya ni matokeo ya Mungu kumuumba na utashi na uhuru wa kuchagua ambapo angeumbwa BATA au MJUSI asiye na uwezo wa kuhoji wala utashi wala uchaguzi wowote angekuwa amelala anasubiri asubuhi kazi moja tu ya kutafuta chakula na reproduction to propagate Generation yake.
 
Exactly!
 
hahahaa

Unaweza kuweka link au post number?
umeshapoteza mwelekeo mkuu.
I know nothing except the fact of my ignorance. Socrates, from Diogenes Laertius, Lives of Eminent Philosophers
Kulingana na Socrate, kwa nini usiseme you know nothing about causative agent zaidi Ya Mungu ili utanue ubongo kwa kusaka maarifa zaidi. Pia unatumia uhalali ghani kuamini Socrate practices (470/469 – 399 BC) kuwa sawa huku Unaona za yesu ambaye alikuja baada yake na Kwa kauli zake anarefer Mwanzo na Uumbaji kama ni kitu halisi na ni Kaz ya Mungu. Hata Paulo alipopanda pale kwenye kibweta ambacho kama sio msomi wa logic na philosophy uliotukuka huwezi kusimama hapo(aeropagus), aliwashinda hao Greece philosophers na wengi wakamfuata yeye na Kristo. na hoja aliyowashindia ni Creation na Uwepo wa Mungu Muumbaji. Tafakari
Anayesema hakubali kwamba Mungu yupo na kutoa nafasi ya kuthibitishiwa kwamba Mungu yupo na anayesema Mungu yupo nani anasema anajua kitu hapo?
 
Sounding very agnostic-ish right there...😀
Katika mstari wa spectrum ya kuamini Mungu yupo unaoanzia perfect 0 kwa wale wanaoamini yupo kabisaa na perfect 100 wasioamini Mungu yupo kabisaa kuna namba tatu haziwezi kuwa perfect. In fact whole number yoyote haiwezi kuwa perfect ukiwa na kifaa cha kuiangalia vizuri zaidi, lakini hapa nitaangalia namba tatu.

Perfect zero haipo. Hakuna mtu anayeamini Mungu yupo bila hata chembe ya kuhoji hata siku moja.

Peefect 100 haipo. Hakuna mtu asiyekubali Mungu yupo perfectly bila chembe ya kuhoji.

Perfect fifty haipo. Hakuna mtu aliye agnostic kwenye swali hili perfectly.

Kwa hiyo, swali linakuja, unaangukia upande gani wa perfect fifty?

Are you atheistic more than perfect fifty or are you less than perfect fifty.

If you have to qualify your agnosticism with a margin of error, you must fall into either side.

Agnosticism is a philosophical position which cannot be upheld in real life. The required perfect balance is just too unreal.
 
The topic reminds me of a paradox: " If God is able to do anything, can God create a very large stone that he can't move?" Look at the consequences of answering YES or NO. If yes then he can not do everything as he can't move the stone. If No then God then he can not do everything as he can not create the stone. Conclusion about God ability is left to the reader
 
Ata hueleweki unasimamia nini?
U have flight of ideas.
1.Mara huamini Mungu yupo
2.Mara unataka uthibitisho wa uwepo wa mungu
3.Mara Declaration of human rights
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent critique" ?

Wasioamini Mungu yupo ndio wanataka uthibitisho. Wanaoamini Mungu yupo tayari watake uthibitisho kwa nini wakati washakubali kwamba Mungu yupo?

Universal Declaration of Human Rights inahusika katika mimi kuelezea kwamba sipingi uhuru wa mtu kuamini anavyotaka kama wengine wanavyofikiri.

Naunga mkono uhuru wa kila mtu kuamini anavyotaka kama ilivyoandikwa katika Universal Declaration of Human Rights.

Lakini mimi kukubali na kutetea haki ya kila mtu kuwa na uhuru wa kuabudu anavyoona haina maananya kwamba natoa ruhusa kwa mtu kuhubiri uongo hapa JF.

Nyumbani kwako, msikitini kwako, kanisani kwako abudu unavyotaka.

Ukija JF hii ni public square. Ukisema mti ni Mungu na mimi nina shaka na habari hiyo, nina wajibu wa kukuuliza mti unakuwaje Mungu wakati mimi najua mti ni mmea unaokua kwa kanunibza baiolojia?

Sikuzuii kuamini mti ni Mungu. Nakutaka unieleze kwa nininunasema unavyosema at a public square.

Jua tofauti na sababu za mimi kutaja kila nisichotaja.

Kama hujajua bado huenda una mapungufu yaliyo zaidi ya uwezo wangu kuyakabili.
 
Haya maelezo umeyapata wapi?

Una uhakika kwamba wafia dini wengine duniani wanafahamu haya maelezo?

Kwa nini tukihoji mambo ya Mungu mnamtete nyie? kwa nini asijitokeze aje kujibu hizi tuhuma zinazomkabili?

Kama Mungu hakuogopa kumuumba shetani, kwa nini anakataza kazi za shetani? huoni huko ni kumuogopa shetani?
Una uhakika kwamba wafia dini wengine duniani wanafahamu haya maelezo?

Hili swali unauliza hapa mara kama ya pili hivi. Ujue hata wewe Hivi kuwa wengi waliokuwa hawaamini Mungu Yupo leo wanaamini ila ligi yao ni Haiwezekani Akawa Physical being. And this is the result of current cosmological and other scientific inventions ikiwepo Dark energy na gravitational waves.

Kwa nini tukihoji mambo ya Mungu mnamtete nyie? kwa nini asijitokeze aje kujibu hizi tuhuma zinazomkabili?
Mahojiano ya Mungu na Ayubu yatakupa picha halisi. Vitu ambavyo Mungu alimwambia ayubu aviangalie na akamuuliza unaweza kuviumba? vyote hivyo alivyokuwa anajivunia ndivyo ambavyo current scientific inventions Zinawafanya jamaa wachanganyikiwe na kusema hii fine-tuning ya dunia na universe yote kuna kitu supernatural and Most intelligent behind. Sisi tunawashangaa maana majibu tunayo miaka zaidi ya 4000 iliyopita. Kwa kutumia hata hii bibilia galileo aligundua Dunia inazunguka jua, Kuona anataka kupewa credit na papa, wanasayansi vihiyo na Ethiests walimfitini hadi akafung

soma Warumi 1:18 -20
1: Kwa sababu amekuumba anakudhihirishia hilo direct,

19 Kwa maana, yote yanayoweza kujulikana juu ya Mungu ni wazi kwao; maana Mungu mwenyewe ameyadhirisha.
20 Tangu Mungu alipoumba ulimwengu, uwezo wake wa milele na uungu wake, ingawa havionekani kwa macho, vinafahamika wazi. Watu wanaweza kuyajua mambo hayo kutokana na vitu hivyo alivyoumba Mungu. Kwa hiyo hawana njia yoyote ya kujitetea!

Mkuu hakuna pa kutokea unless ufanye makusudi.

Pia Shetani amewekwa akiba ya Moto. Mungu hakutaka kumuangamiza palepale ili kila kiumbe kione ubaya wa maamuzi yake na mwisho wakili kuwa Hukumu za Mungu Ni haki na kweli. Ndiyo itakavyokuwa. Mungu hamuogopi shetani hata nukta maana ni kiumbe tu. Wala shetani sio opposite ya Mungu bali ni kiumbe mdogo aliyeasi na kukataliwa ma mamillioni ya Viumbe wake kwa utashi na Kukumbatiwa na human race. Ila Mungu Hakuishia hapo Kwa upendo akaandaa mpango wa kumkomboa mwanadamu na vyote hivyo nihiyari.
 
Anayesema hakubali kwamba Mungu yupo na kutoa nafasi ya kuthibitishiwa kwamba Mungu yupo na anayesema Mungu yupo nani anasema anajua kitu hapo?
Ungetenda haki kama ungeanza kujibu unachotakiwa ili uulize swali lingine.
Otherwise useme wewe huna cha kueleza zaidi ya maswali kama ulivyofundishwa na Socrates.
Tuendelee tulipoishia
 
Back
Top Bottom