'Who created God' is an Illogical Question!

mbao
Maujinga tu.
Hahahaha, nilisema utarudi hata baada ya kuaga na kusema "I'm out"

Sasa hapa mjinga nani?

Mimi ninayekurudisha wewe unayeaga na kushindwa kuondoka au wewe unayeaga na kushindwa kuondoka?
 
Unafahamu kitu kinaitwa "framework"?

Unajua kwamba chochote unachokubali kipo au hakipo ni lazima utumie "framework" fulani?

Unajua kwamba bila "framework" hata wewe mwenyewe huwezi kukubali au kukataa kwamba upo?
Kwa sababu chochote utakachosema kinapingika?

Unajua kwamba agostic kwa kweli anatakiwa asipumue? Kwa sababu anatakiwa asijue kama akipumua atapumua cyanide itakayomuua hapo hapo ama la.

Unajua kwamba kitendo kwamba unapumua kinaonesha kwamba u agnostic wako unatumia framework fulani ya reference ili usi paralyze na kufariki kwa kuogopa kupumua?

Unajua unaweza kutumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa Mungu?

Kwa hiyo ukitumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa mungu ndo utapata jibu au majibu sahihi kuhusu uwepo wake?
 
Nilidhani utaishia kuwa utatumia hiyo framework kuchunguza kutokuwepo kwa Mungu na kutafuta evidence ya kutokuwepo kwake? Sasa Unasema Mungu hayupo alafu evidence ya kutokuwepo kwake ni kuwa Maneno yeke yanajicontradict. Sasa Huoni Inabidi Ukubali Mungu Yupo ndio useme Maneno yake yanajicontradict
 
Pembetatu iliyo diara haipo katika Euclidean geometry.

Hilo halima maana ya kwamba siwezi kusema habari za pembetatu ambayo ni duara zinaji contradict.

Mungubwako ni kama pembetatu ambayo pia ni duara hapo hapo katika Euclidean geometry.

Anatajika, lakini hayupo kwa sababu idea ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.
 
Hiki ulichokileta ni Analytical proof katika syntheic subjects. synthetic a priori.

Gödel’s Incompleteness Theorem says:

“Anything you can draw a circle around cannot explain itself without referring to something outside the circle – something you have to assume but cannot prove.” Pia mathematics yenyewe huwezi kupiga hatua moja bila Assumptions na Imaginations. Hii inanifanya nikuoshangae kidogo kuamini assuptions za mathematics huku ukitupilia mbali

Kumbuka " Kutokuwepo kwa Ushahidi, sio ushahidi wa Kutokuwepo"
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.

Nakwambia hujathibitisha Mungubyupo na wewe unaniambia kwamba huwezi juthibitisha kwamba Mungu yupo, unachoweza kufanya ni kutunga story inayohusu vitu usivyoweza kuvijua kwamba Mungu yupo.

You are making my point. God is an unprovable made up story.
 
kumekubali mfano wako uliouleta wa huyo mgiriki ni irrevant na unfit for this discussion
How irrelevant and unfit? Can you be specific? Umesoma post zote zilizofikia hapo na zote zilizopita hapo?

Umeangalia hata hizo post numbers?

Umenijibu swali nililokuuliza baada ya wewe kuleta huo mfano?

Umethibitisha kwamba Mungu yupo?
 
Then you are an agnostic only because you choose to view your position with a crude lens, a finer microscope will reveal that you are either an atheist or a theist.

No.

I am an agnostic precisely because of my multidimensional microscope that has 100 million times finer resolution than the current IBM nanoMRI microscope!

Its results are inconclusive.
 
That does not contradict my proposition.
 
Rejea bandiko lako namba 1219.

Framework niliyoitaja hapo ni framework uloizungumzia wewe kwenye hilo bandiko.
Sijataja specific framework yoyote zaidi ya kutaja framework.

Sasa wewe unapotaja framework, unakusudia framework gani specifically?
 
.
Kwa hiyo wanadamu ndio wanaumba bacteria, virus, na kusababisha volcanic eruptions? This is not your place. You can just stay a spectator...
Wewe wasema Mungu hayupo,halafu wasema Mungu ndio kaumba bacteria,virus,volcano,huyu amvaye hayupo kaumba vipi hivi vitu na hayupo.
Asiyekuwepo,ataumba vipi vitu,mbona msioamini uwepo wa Mungu mnajindanganya,huku mwajuwa mwajindanganya.
 
How does it not?
My proposition did not concern itself with specific numbers or measurements.

Just the fact that however fine your current measurements are, if they tell you that you are agnostic, they are not fine enough. Once you examine things closely enough you will conclude that you are either on one side or another.

So throwing a number that show your kens is very fine does nit contradict my proposition.

Mi kama unapina uzito wa kilo moja kamili.

Unaweza kupata kilo moja up to a certain decimal places, ukiongeza precision utakuta uzito umepungua au kuzidi kilo moja.
 
Sijataja specific framework yoyote zaidi ya kutaja framework.

Sasa wewe unapotaja framework, unakusudia framework gani specifically?

Duh!

Naona umeshindwa kufuatilia vizuri mtiririko wa majibizano yangu na yako.

Sina hakika ni kwa nini. Huenda ni kwa sababu labda unawajibu theists na agnostic kwa wakati mmoja.

Kwenye bandiko lako namba 1219, kwenye sentensi ya mwisho uliandika hivi:

Unajua unaweza kutumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa Mungu?

Ndo nami nikakunukuu na kukuuliza hivi:

Kwa hiyo ukitumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa mungu ndo utapata jibu au majibu sahihi kuhusu uwepo wake?

Does it make sense now?
 
Arrgggghhh....I'm about done with this stupid laptop.

Nadhani ina matatizo. Hakuna popote ninapobonyeza ili iweke hayo mamistari ya strike-through lakini periodically inakuwa inayaweka yenyewe.

Anyway, hope utaelewa nilichoandika.
 
Duh!

Naona umeshindwa kufuatilia vizuri mtiririko wa majibizano yangu na yako.

Sina hakika ni kwa nini. Huenda ni kwa sababu labda unawajibu theists na agnostic kwa wakati mmoja.

Kwenye bandiko lako namba 1219, kwenye sentensi ya mwisho uliandika hivi:

Ndo nami nikakunukuu na kukuuliza hivi:

Does it make sense now?
Yes.

First thing first, the framework being logic, the godhead being omnipotent, omniscient and omni benevolent (and therefore humanly knowable) on the one hand (proposition p) who created a world that allows evil even as he was capable of creating a world in which evil is not possible (proposition negative p)

This godhead idea contradicts itself by giving us two opposing propositions.

P = - P.

God does not exist.

Because the idea of this God says he does not exist.
 
Back
Top Bottom