EVOLUTION IS A LIE. IN MORE SIMPLE WAY ITS LIKE A GLOBAL RELIGION WHOSE GOD IS TIME(MILLIONS/BILLIONS OF TIME BELIEVED BY IMMAGINATION)
COSMIC EVOLUTION/ORGIN OF UNIVERSE AND OUR EARTH (Hapa Mtu Hayupo)/BING BANG THEORY
Cosmic evolution ikifeli maana yake na mwendelezo wa evolutions nyingine umefeli moja kwa moja.
Hiki Kitu mkuu Hakina scientific proof kimekuwa proven wrong ni mawazo ya watu yasiyo na mashiko.
1:HAikubaliani na 1st and 2n2 law of thermodynamics, Haikubaliani naThe law of course and effect, Haikubaliani na The law of conservation of angular Momentum, Haikubaliani na newtons 1st and 2nd laws. Haikuballiani na law of conservation of mass.
Mfano mdogo tu;
Law of Angular momentum ilitaka kila components ambazo ni result of explosion (Bing Bang theory) zizunguke with similar speed na same direction (unaweza kurefer hata mechanics(Rotation) kama ulisoma physics advance).
Cha ajabu speed ya jua ni ndogo kuliko speed ya dunia. Sayari ya Dunia na nyinginezo zina move katika different directions na Venus, Uranus na pluto.
Ukiangalia Milk way galax inaspin in opposite direction na Goofy Galax. Cha ajabu zaidi Mwezi pamoja ya kuwa na movement pia unamove away from earth by a certain small distance. Haya yote mkuu Yanafanya ORGIN Of THINGS kwa Theory hiyo kuwa ni ZAIDI YA MUUJIZA WA UUMBWAJI WA DUNIA KWA SIKU 6 na Ya saba kuagizwa kutumika kama Kumbukumbu ya Uumbaji huo.
INCONSISTENCE YA UUMBWAJI WA DUNIA NA MAGALAX NA ULIMWENGU WOTE KWA UJUMLA.
Dunia Iliumbwa/evolve lini?
1:1862 - Miaka 20 Million iliyopita (THOMSON)
2:1897 - Miaka 40 Millioni Iliyopita (THOMSON)
3:1921 - Miaka Billioni moja iliyopita (Rayleigh)
4:1932 - Miaka 1.6 Billioni iliyopita (W.O. Hotchkiss)
5:1947 - Miaka 3.35 Billion iliyopita (A. Holmes)
6:1956 -Miaka 4.5 Billion iliyopita (A. Holmes)
7:1960 - Miaka 4.6 Billion hii ndio update inayotumika sasa.
Kwa mtindo huu tutegemee hiibirthday ya dunia kutokuwa consistent yaani kuna uwezekano kuongezeka hadi kufika matrillioni miaka ijayo. KAtika vipindi vyote hiyo Tunaoamini Uumbaji wa Mungu Takwimu haziyumbi wala hazibadiliki. Kwa kuangalia Miaka ya watu kuanzia adamu na matukio yaliyorecodiwa Dunia inabaki iliumbwa around miaka 6000 iliyopita.
Hapo nimekupa mfano mmoja wa Aina moja ya EVOLUTION ambayo sio tu ni KAMA DINI YA KIPAGANI FLANI AMBAYO MUNGU WAKE NI MUDA BADO NI UONGO UNAOJIPENDEKEZA KWENYE SCIENCE. INAHITAJI IMANI KUAMINI HIYO MIUJIZA SIO SCIENCE, NA IMANI INAYOKUIHITAJI KUAMINI HAYO NI KUBWA SANA KULIKO HII YA MUNGU AMBAE NI DESIGNER OF THIS UNIVERSE.
MFANO WEWE UKIWA NA GOGO HUWEZI UKALILIPUA BY CHANCE KIKATOKEA KITI. CHENYE MISUMARI KWENYE KONA NA SIO MAHALA PA KUKALIA, CHENYE SEHEMU YA KUEGEMEA, MIGUU MINNE MAANA IKIWA MITATU AU MIWILI ITAKUWA VIGUMU MTUMIAJI KUTUMIA. KWA AKILI YA NDOGO LAZIMA UAMINI KULIKUWA NA DESIGNER NA MANUAL ALIYOTUMIA. HIVYO NDIVYO ALIVYO MWANADAMU AMBAYE INFORMATION KUMUHUSU YEYE TU ILIYO KENYE CELL GENE MOJA AMBAYO KAMA UKIPEWA UANDIKE KILA KILICHOTUNZWA HUMO UNAWEZA KUPATA KARATASI LENYE UREFU WA KWENDA MWEZINI NA KURUDI MARA KADHAA. SASA MWANADAMU ANAGENES MAMILLION MANGAPI ZIDISHA MARA HIZO TAARIFA, ITS AMAZING BROTHER.
MKUU HAPA NI AINA MOJA TU YA EVOLUTION.
UKIENDA KWENYE;
CHEMICAL EVOLUTION; UTATA MTUPU METAL KUTOKA KWENYE HYDROGEN SCIENTIFICALLY WRONG
STELLER AND PLANNETARY EVOLUTION; INAVUNJA KABISA GAS LAW
ORGANIC EVOLUTION- HII INAVUNJA LAW OF BIOGENESIS (LIFE CANNOT COME FROM NON-LIFE) Hata hivo Darwion mwenyewe alikuwa hajui zaidi ya kushangaa wale ndege pale kisiwani na kulink knowledge za kwenye kitabu cha rafiki yake na kkutunga vitu ambayo ni vya kufikirika
MACRO EVOLUTION - Genetically haiwezekani kwa kiumbe yoyote kuanzisha kiumbe kingine kipya ambacho hakina uhusiano wowote na cha kwanza (Yaani bakteria kuwa kirusi, au kama alivyosema Darwin Samaki akatembea akawa sikwe baadae sokwe akawa mtu, hizi zote ni hisia ndio maana zimejificha kwenye kichaka cha Millions/Billions of years ili iwe vigumu kuprove)
Hata hivyo Darwin Hakujua hilo maana Genetic Science haikuwepo enzi zake.
MICRO EVOLUTION (Hii ndio inaweza kuwa scientifically at least proven) Yaani Mbwa anaweza kuzaa aina mbalimbali za mbwa lakini ataendelea kuzaa mbwa muda wote, Nayo ni kwa nini? Millions of informations stored in the Genome. Pia Mitosis haileti Genetic information mpya.
Mkuu nimejeribu kuandika mengi maana nimepata nafasi kidogo. Nitarudi Tena midamida.
Ninaamini Ni rahisi Kuamini Muujiza wa Uumbaji kwa kustudy the creative work of creator kuliko kuamini theory na non scientific fictions ambazo zimefanikiwa kuwaacha wakazi wengi wa dunia bila Matumaini. Dunia na Ulimwengu wote ulikuwa designed carefully in Six consecutive days (24hrs) Na kuagizwa kukumbuka na kutafakari tukio hili mara moja kwa wiki ya Maisha yote ya mwanadamu anapokuwa hai Siku ile ya Saba.
Karibu kiongozi