always am a Winner
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 230
- 193
- Thread starter
- #521
Accept or reject, evolution is a FAITH!Yes it is a continous process.. Actually hata wewe hapo ulipo ni tokeo la evolution (microevolution) jiulize hivi ni kwann wewe unafanana na watu wa familia yako na sio watu wa familia yangu ? Na kwanini Mimi na wewe hatufanani na wazungu wala watu wa race nyingine ?! Kama unaweza kuishi miaka zaidi ya milioni Mona then at least tena ni at least ndo ungeweza kupata kuona mabadiliko.. !
Na naomba kitu kimoja... Watanzania wengi tuna misconceptions nyingi sana kuhusu evolution ! No actually hizi misconceptions zipo kwa watu wengi tu dunia nzima... ! Naomba msome na sio mnaropoka mambo ambayo hamyafahamu ! Hii sio dini ambayo ili kuelewa lazima uvae miwani ya faith..! Science haiitaji faith kwa wewe kuijua you just need to reach out and study it !
How can evolution explain this?