'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

either it doesn't mean God don't exist...because you can prove the existence of something when your not looking...your on the different level of frequency...it give you comfort to blind yourself the other side does not exist because its fog and you can not comprehend
How do you know that that is not malarkey?
 
I can not dismiss something because of lack of vivid proof... Because even scientist would stop searching for black holes if they were that dismisseve
That's true.

On the other hand, you should not say that something which has a clear and unresolved contradiction exists.
 
That's true.

On the other hand, you should not say that something which has a clear and unresolved contradiction exists.
Contradiction also does not mean something doesn't exist...in search for light (the truth) contradiction is inevitable and you must finish that journey...its easy to remove God from the equation because of the path you have taken but then what..in end you will came across another problem proof of your own consciousness, how can you prove its you and not some else
 
Tofauti ya sababu ya kuamini jambo na kuthibitisha jambo unaloamini?

Unataka nikuoneshe kuna tofauti gani kati ya sababu za kuamini jambo na kuthibitisha jambo fulani?

Kwa mfano wa jua, sababu za kuamini jua litachomoza ni kwamba halijashindwa kuchomoza, sayansi imelisoma linavyofanya kazi kwa kuunguza hydrogen mpaka chuma na limepigiwa hesabu ya kuzidi kuwepo kwa miaka bilioni 5.

Lina consistency ya kuchomoza. Kuchomoza kwake hakuna contradiction.

Lakini hayo yote hayathibitishi jua litachomoza kesho.

Inawezekana leo kukotokea black hole karibu na jua ikalimeza jua, inawezekana kuna bursts za gamma rays zenye nguvu zikalilipua jua leo, kesho lisichomoze. Hatuwezi kuthibitisha ambacho hakijatokea bado, kwa sababu hakijatokea, hivyo ninavypanga habari za mikutano ya kesho, napanga kwa imani, sijui kama kesho itakuwepo.
Hehe..ok umeeleza vizuri.

Imewezekana kutoa sababu za kuamini kuchomoza kwa jua ila imeshindikana kuthibitisha hicho unachokiamini.

Nia yangu ni kujua tofauti ya sababu ya kuamini na kuthibitisha unachoamini,sasa unaonaje ukatoa mfano mwengine ambao itawezekana kuthibitisha?
 
Hehe..ok umeeleza vizuri.

Imewezekana kutoa sababu za kuamini kuchomoza kwa jua ila imeshindikana kuthibitisha hicho unachokiamini.

Nia yangu ni kujua tofauti ya sababu ya kuamini na kuthibitisha unachoamini,sasa unaonaje ukatoa mfano mwengine ambao itawezekana kuthibitisha?
Naamini kwamba utasoma hii post. Uthibitisho wake utakuja utakapoijibu kwa kuinukuu.
 
Naamini kwamba utasoma hii post. Uthibitisho wake utakuja utakapoijibu kwa kuinukuu.
Sasa mimi kujibu kwa kunukuu post yako inathibitisha nini katika hiyo imani na endapo sitojibu kwa kunukuu italeta maana gani katika imani yako?

Halafu imani yako hii inatofauti gani na imani yako ya kuchomoza jua?
 
Kwamba uwezo wako ni mdogo hilo halina shaka.

Siipi nafasi sana imani kwa sababu imani inatakiwa kuwa ni chanzo tu cha kutufikisha kuujua ukweli.

Hivyo basi, watu wawili wakibishana, mmoja akasema mvua inanyesha nje, mwingine akasema hainyeshi, wawili hawa wakiwa katika nyumba isiyo na dirisha wala mawasiliano yoyote na nje, kitu cha kufanya hapo ili kumaliza mjadala si kusoma Biblia na Quran na Aristotle ili kujua kama mvua inanyesha au hainyeshi.

Kitu cha kufanya ni kwenda nje na kuangalia kama mvua inanyesha au hainyeshi.

Hatuwezi kuishi bila imani, hivyo kuna nafasi fulani imani inabidi ichukue.

Lakini hatuwezi kuishi kwa imani tu bila kutafuta uthibitisho wa mambo kimantiki na kwa kuchunguza mambo.

Umeelewa?

Ningesema naipa nafasi imani sana maana yake kungekuwa hamna haja ya kuchunguza mambo na kuhakikisha na kuvumbua.

Hata hii internet isingekuwepo, kwa sababu inaendeshwa kwa kanuni za fizikia za watu waliochunguza na kuvumbua.
Na ubishi wa mungu yupo au hayupo nao unamalizwa vp?
 
Mungu yupo

Sijakukataza kuamini Mungu wako. Nitatetea haki yako ya kuamini chochote unachotaka kwa mujibu wa Universal Declaration of Human Rights.

Lakini ukija kwenye mjadala wa kifalsafa hapa weka mahubiri pembeni na mtete Mungu wako kwa hoja.

Kama huwezi kumtetea Mungu wako kwa hoja, kaa pembeni.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Contradiction also does not mean something doesn't exist...in search for light (the truth) contradiction is inevitable and you must finish that journey...its easy to remove God from the equation because of the path you have taken but then what..in end you will came across another problem proof of your own consciousness, how can you prove its you and not some else
You have not proved God exists.
 
Basi hoja yako ya kusema kuwa kuamini mungu kunaleta ustaarabu haina nguvu.
Hivi unanielewa lakin??? Binadamu akimfanyia jambo baya binadamu mwenzake ni kwamba anapata dhambi...ila kuku akifanya mabaya kwa kuku mwenzake huu utaratibu haiko applied kwao wala kwa viumbe vingine??? Je ni kwamba viumbe hivyo haviumii?? Havina nervous system??? Je kuna consistency...?? Mkiulizwa mnadai mnatumia akili za kufikiria sasa mimi na wewe tukiwa hatufikiri tungekuwa na tofauti gani na mtoto mchanga. Kuna vitu viwili kwenye maisha ya binadamu ni very powerful navyo ni arithmetic nd logic... mtu anaepossess vitu hivyo kwa kiwango cha juu zaidi.... he/she must be genius. it whether u tell a lie or truth.... any statement u made it either ni kweli au si kweli (this is what we call logic). Whatever u compute either kwa kukuambia nimezaliwa mwaka gani then ukaderive my age au nimekukopa kiasi cha sh 100k nikarejesha 80k...ili uweze kujua kilichosalia basi hapo una apply kitu kinaitwa mahesabu(arithmetic). Do u see how strong those two attributes are???
Hapo nakuachiwa swali najua nimeshakuuliza mengi hapo juu, mfano mtu amekupa statement ambayo kwa kutumia reasoning yako umeshindwa kujua kama ni kweli au si kweli nd u have to make decision. mfano unamwambia mtu ambae hajawahi kuiona bahari kwamba asilimia 75 ya dunia yetu ni maji, je akuamini kwa kumwambia tu au afanyeje ili ajue umesema ukweli?? Maendeleo ya kiteknolojia unayoyaona sasa yametokana na tafiti na zilikuwa na base ambayo ni vitabu vya dini.... mfano wale waliosema dunia iko stationary at the center na vingine vyote including jua vinaizunguka. Kama watu wangetuliza pumb* zao chini alafu wakawa na hoja kama za kwako ukweli ungeonekana ni huo kwa vile ukiwa hapa duniani hivyo ndivyo inavyoonekana....
 
Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).

(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).

I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;

Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .

You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.

To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.

Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.

To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
If we can't comprehend and we cnt get some answers.... nyinyi haya majibu imeyapata wapi na mmecomprehend vipi??? Things that u don't better u leave them aside.... and they are real so many things we don't know and yet we never care about them...kila binadamu anachoice ya kuchagua aishi vipi... ndio maana mwingine ni mama lishe mwingine daktari, mwingine hana shughuli ya kufanya... mwingine anajua mahesabu, mwingine lugha, etc. Mbona kwenye suala hili mnataka tuwe kitu kimoja??? Binadamu vile ana choice ya kuamini au kutokuamni.... unajua ukiona neno (default) huwa unapata picha gani??? Mfano by default binadamu without any aid ya kitu kingine kama ndege,parachute etc.. hawezi kupaa angani... (so ana choice ya kupaa kama mwewe). So Mungu anawekaje choices mbili kwa kiumbe chake (either amuamin au asimuamini) alafu zote zinawezekana, moja ni njia sahii na nyingine si njia sahihi... na hii atakuhukumu nayo... moto wa milele. Ndio hivi vigumu kucomprehend kweli??? Hivi angeshindwa kutufanyia kwamba kuamini yupo ni inevitable ingeshindikana??? Kwanin ameamua kutujaribu wakati ni alpha na omega... ni kwanin atuache tutende maovu na anajua kila nafsi anayoitengeneza itatenda nini hata kabla haijazaliwa??? Why asitupeleke kwenye sehemu ya mwisho kabla ya kuyaishi maisha hayo??? Kutokana na nguvu aliyonayo anajua hatima ya kila kitu kilichoishi, kinachoishi na kitakachoishi pamoja na visivyoishi... na hata hivyo ovu linapotendeka ana uwezo wa kulitolea hukumu on spot... if he could have done that... dunia hii ingekuwa salama na amani tele na ingekuwa ina high security... Marekani asingeonea mataifa madogo na wala, wanaojitoa muhanga wasingefanya hivyo kwani isingewezekana.... kama nina uwezo wa kufikir nin kosa langu kuhoji na maswali hayo???
 
Back
Top Bottom