Whats your talent...???

YM ! Mdogo wangu wacha basi mzaha! Kujifanya huelewi !
Shauri yako kujifanyafanya huelewielewi, utakuja pitiliza ukawa huelewi kikwelikweli !

Hamna judgement. Unajua mimi huwa napenda mtu akienda straight to the point na sio kuzunguka zunguka mbuyu kama kuku anayetaka kutaga
 
wapi unachezea kiduku???

nijulishe Tanmo....

Huku huku mtaani kwetu tuna kikundi chetu tunakiita Kiduku Show Time..
Unataka kujiunga mkuu? Karibu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…