Umesahau mara hii juzi tu uliniahidi nini then mpaka leo kimya..lol. Nakutania.. Nimepata mwalimu labda uje kutu join, two experts can bring out an awesome student!
Lol
Naona kama kila nikifanyacho nakifanya kwa kipaji cha hali ya juu sana
Ngoja nijikague kwanza ntarudi baadae
you think???
niliwahi kuwa na kipaji cha kukariri movie, kuanzia trela, majina ya mwanzo, movie yoooote, hadi sauti za kinanda... yaani kama ni movie ya saa moja, mie nakusimulia masaa mawili! ila sijui kama hiyo kitu ipo hadi sasa hivi!
Mi sina.
Shem hata kupika huna kipaji?Mi sina.
Nimerudi mzee wa Atown....Haya bwana.
Mi sina.
Nimerudi mzee wa Atown....
Nina kipaji cha kuosha vyombo ingawa sipendi kabisaaaaaa ila nikiviosha vinatakata sana yan vinakuwa vipyaaaaa
Hahahaaaaa na ningeshinda kwa kishindo...ila Bagah hajasema tu anakipaji chake noma sana aisee....Ha ha haaaaa!!! kama leo kungekuwa na shijndano la watu wenye vipaji vya ajabu nadhani wewe ungeshinda.
Hahahaaaaa na ningeshinda kwa kishindo...ila Bagah hajasema tu anakipaji chake noma sana aisee....
Unakijua?
WE huwajui kina Sangoan na Sangoku?What is Manga?
Am not thinking but am sure.
WE huwajui kina Sangoan na Sangoku?
little boy you have so much to learn!
Nimerudi mzee wa Atown....
Nina kipaji cha kuosha vyombo ingawa sipendi kabisaaaaaa ila nikiviosha vinatakata sana yan vinakuwa vipyaaaaa
mh! umenikumbusha kipaji cha kumwagilia maua!
Jamani binadamu wote wanayo talent? Binafsi i can run but iam not world class athlete, i can cycle up to 80 km in less than 3 hours but certainly cannot win the Tour de France, i play table tennis but not competitevely,i kick football but cant rival Messi. I can sing the national anthem of course, I am not complaining but just wondering if each of us has a talent.