Whats your talent...???

Whats your talent...???

vipaji vyangu
-KIPAJI MFU
-Football,ningezaliwa miaka ya karibuni hakika ningesakata kapumbu ulaya!nilikuwa nikikuchezea nyuma yaani beki ni noma!hata Messi hapiti!

U can still be the best footballer if you want to. all you have to do is have a will
 
-DECORATION yaani kupamba kumbi kwa ajili ya harusi!wanaonijua hawaniiti mpambaji,wananiita Mbunifu wa mapambo!niko na kampuni yangu ya mambo ya sherehe inaitwa The Function House!

Great talent. Nikitaka kuoa nitakutafuka mkuu.
 
anything from afro,afro-carribean,latin(reggae,salsa,chacha,cumbia,mirengue,rumbha....a bit of RnB .na nyingi zenye direct african taste..talk of music from D.R.C and South Africa in particular).
wa ki-afrika unanifanya niwe huru sana,NAONA NAFANYA CHA KWANGU HASWA,JAPO LUGHA YA MUZIKI DUNIANI KOTE NI MOJA!

Do u know how to play a piano?
 
-Florist!
mambo yote ya kupanga maua!maua yenyewe yakiniona huwa yanaanza kujipanga yenyewe kabla sijayagusa!
 
-Cake baker!nilikuwa nikitengeneza keki na kupamba ktk viwango vya kimataifa vya Wilton!then I went to college!bila shaka nitaanza tena kutoa huduma hii ktk The function house!
 
Ha ha haaa!!! hicho sio kipaji mkuu. hiyo ni skills.

jamani bado nina kamba mguuni! nilijiunga kitambo lakini nilikuwa kutwa nachungulia kwenye mianya ndani kukoje kabla ya kugonga! nimegonga rasmi, nimekunwa na topic ya talent, kipaji changu ni upanga boi kunako 6 by 6, cjui kama ni talent au ni skills. mtadadavua kwa muda wenu.
 
-KIPAJI TARAJIWA
msishangae siku moja kusikia kuna mtanzania anaitwa Tilly Collins Chizenga akicheza movie ktk viwango vya kina Denzel Washington,Richard Gere and the likes!
 
jamani bado nina kamba mguuni! nilijiunga kitambo lakini nilikuwa kutwa nachungulia kwenye mianya ndani kukoje kabla ya kugonga! nimegonga rasmi, nimekunwa na topic ya talent, kipaji changu ni upanga boi kunako 6 by 6, cjui kama ni talent au ni skills. mtadadavua kwa muda wenu.

Upanga boi tena? Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
mkuu kwani wanaume nao wanayaweza?? mimi ni mtoto wa kike haswa! mbona hakuna hata karibu, swali ndilo la kwanza? hebu kuwa mkarimu kidogo kaka!
 
mkuu kwani wanaume nao wanayaweza?? mimi ni mtoto wa kike haswa! mbona hakuna hata karibu, swali ndilo la kwanza? hebu kuwa mkarimu kidogo kaka!

Mhmmm!!! huoni jinsi nilivyo mkarimu kwa kukukaribisha na like. Nimefanya hivyo ili kukuonyesha ni jinsi gani nakupenda. Embu njoo huku kwanza tupate kinwaji kidogo wakati nakutembeza hapa jukwaani.
 
Great talent. Nikitaka kuoa nitakutafuka mkuu.

karibu mkuu!unaweza kuchungulia kazi zangu ktk www.harusiyangu.com ktk decorators list cheki The Function House!pia facebook nicheki ktk this id ninayotumia hapa!karibu tena,booking muhimu,you know the date you inform me!
 
Sawing. . .
Knitting. . .
Writting(lyrics, poetry, hadithi, tumakala n.k). .
Cooking. . .
Singing. . .
Playing piano. . .

. . . . .na nyingine nyingine.
.........umesahau kimoja........
 
bigup young master,una vipaji vingi sana.
anyways, mimi ni kama ifuatavyo
-nafanya graphics vizuri bila formal training, i mean nimeweza kujifunza bila kukaa kwenye chuo na kupata cheti, lakini nime interview wenye degree zao na wengine nikawa disqulify, sio kwa wivu bali uwezo wao.

-naweza kitembea kwa mikono kwa umbali wa mita kama saba hivi.

-ni mvumilivu sana ninapotaka kitu sikati tamaa mpaka nipate (sijui kama ni kipaji)

-sikusoma english medium na wala sijasoma college yoyote lakini english yangu ni better than graduates wengi niliowahi kukutana nao au kuwasikia

-naweza kuwapa watu moyo (inspirational)

-ni hayo tu wajameni.
Safi kabisa Luk,very inspiring!
 
It's'your lucky day, i can play the guitar
And I. Can sing too.
Naongea lugha nane, nne international. 🙂
Mmmmmhhhhh? Na kihaya as international language imo kwenye orodha?
 
Vipaji vyangu

1: kulia machozi kama mvua
2: kuhudhuria misiba hata uwe vingunguti natokea hm Bunju mpaka huko hata kama hunihusu
3:woga, naogopa sana wazee hasa wenye sura mbaya. (Hichi kipaji au tabia?? )
4: ......naomba hichi nisikiweke wazi kuna watoto humu.
Unaogopa wazee sura mbaya? Usituogope bana hatuumi.
 
Back
Top Bottom