Whats your talent...??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Whats your talent...???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Michael Amon, Apr 10, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Naamini katika jamvi hili la JF kuna watu wenye vipaji vingi na vya kila aina, wengine wana vipaji vya ufundi wengine kuigiza wengine kuimba n.k. Leo ningependa wana Jamii Forums wote tushare vipaji vyetu tulivyonavyo katika thread hii. Huwezi jua pengine kipaji chako kinaweza kumnufaisha mwingine au kipaji cha mwingine kukunufaisha na pengine kipaji chako kinaweza kukunufaisha wewe mwenyewe hapa jamvini kwa namna moja au nyingine.

  Ningependa mimi ndio niwe wa kwanza wa kueleza vipaji nilivyojaliwa na Mwenyezi Mungu na vielezea kimoja baada ya kingine kama ifuatavyo;-

  1. Technical talent - Hiki ni kipaji changu kikuu nikipendacho kuliko vyote. Ndicho kinachonilisha, kunivisha na kunifanya nionekane wa muhimu hapa duniani. Kipaji hiki kiligundulika nikiwa mdogo kabla hata sijaanza shule ambapo nilianza kujihusisha na mambo ya ufundi wa umeme na electronics lakini kadiri umri ulivyozidi kuendelea nilikutana na kitu kinaitwa computer wakati nipo darasa la 2 na kujikuta kipaji changu chote kikihamia katika computer ambacho ninakiendeleza hadi sasa as an IT TECNICIAN. Apart from being an IT TECHNICIAN mimi ni fundi wa kila kitu kuanzia useremara mpaka mabomba. Ninaweza kufanya kazi yoyote ya ufundi bila ya kuisomea.
  2. Voice talent - Hiki ni moja wapo ya vipaji vyangu vya ajabu ambacho huwa kinawashangaza watu wengi sana. Kipaji hiki kimenifanya niwe na uwezo wa kuimba sauti yoyote ninayoipenda hata iwe ya Rihanna au Jordin Sparks. Pia nina uwezo wa kuigiza sauti ya mtu yeyote nipendaye kuanzia kuongea kwake, kuimba hata kucheka. Pia nina uwezo wa kuiga sauti ya milio mbali mbali ya wanayama ikiwemo mbwa, paka na farasi.
  3. Acting talent - Hiki ni kipaji changu kingine cha ajabu nilichojaliwa ambacho mara nyingi huwa napenda kukitumia for fun. Nina uwezo wa kuigiza ikiwemo kuigiza jinsi mtu anavyotembea na mambo yote anayoyafanya. Nakumbuka nilipokuwa Sekondari mimi nilikuwa ni mwanafunzi pekee niliyeweza kuigiza karibu walimu wote matendo yao yote bila kukosea.
  4. Body flexibility - Katika watu ambao wamejaaliwa kuwa na miili ambayo iko flexible nadhani mimi ni mmoja wapo kwani mwili wangu uko flexible kiasi cha kujifunza body movements yoyote kwa urahisi na kwa haraka ikiwemo dancing, kung fu n.k
  5. Studying human's mind and actions - Kipaji hiki cha kusoma watu nilikigundua when I first fell inlove wakati niko darasa la tano baada kuweza kusoma mambo kadhaa kutoka kwa mpenzi wangu huyo wa kwanza. Baada ya kukigundua kipaji hiki nilikuwa nikikitumia kuwasoma wapendao kama wanapendana au la na pia kuwasoma wale mbao wako single na kujua ni watu gani wanaowazimia na wangependa wawe wapenzi wao. Baada ya kusoma phylosophy kipaji kimepanuka na kuongezeka kwani sasa ninaweza kusoma kila kitu kuanzia tabia hadi kile unachowaza.
  6. Writting - Pia nimejaliwa kipaji cha kuweza kuandika makala yoyote na ikavutia machoni pa watu ikiwemo poems, CV's na kadhalika.
  7. Cooking - Hiki ni kipaji ambacho kwa kweli huwa nasikia raha kila ninapokifanya. Ingawa mimi ni mtoto wa kiume nina uwezo mkubwa kupika vyakula mbali mbali ambavyo kwa kweli huwa vinawadatisha watu wengi.
  8. Predict the future - Hiki ni kipaji changu cha mwisho ambacho ni cha kurithi kutokana na kipaji hiki nimeweza kutabiri mambo mengi yatakayotokea ikiwemo mitihani n.k

  Hivi ni baadhi ya vipaji ambavyo ninavyo. Ninaamini hapa jamvini kuna watu wenye vipaji tena kunizidi hata mimi. Lets share our talents together. Now tell me whats your talent?
   
 2. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Me ni muandishi mzuri wa mistari ya Hip hop...
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hongera zako,mi kipaji changu bado sijakitambua and i'm in mid thirties
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sawing. . .
  Knitting. . .
  Writting(lyrics, poetry, hadithi, tumakala n.k). .
  Cooking. . .
  Singing. . .
  Playing piano. . .

  . . . . .na nyingine nyingine.
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nice. Keep it up boy.
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...ivi sjui iki nilichonacho nikipaji?...ngoja kwanza!
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  So u know how to play a piano? Mimi napenda sana kupenda kujifunza kuplay a piano but sijabahatika kupata mtu wa kunifundisha. Would mind if ukinifundisha kuplay piano?
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usijue? Au hujiamini?
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Bado haujakitambua kipaji chako au wewe ndio hauko tayari kukitambua na kukitumia?
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kucheza kiduku...
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  talent yangu? Haiandikiki.......
   
 12. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Please somebody show up with a talent ya ku play a guitar..!
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaa!!! hicho sio kipaji mkuu. hiyo ni skills.
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kwani hiyo talent yako haiandikiki kwa maandishi?
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Unataka kujifunza kuplay guitar?
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Yah.. Natafuta mwalimu.
   
 17. M

  Mnyama Hatari JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Causing mischief and aggravation.
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nimekugongea like...ivi kiswahili hakijitoshelezi eeh?
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Hakijitoshelezi kivipi mkuu? Sijakuelewa. Halafu hiyo like hujanigongea mimi. maybe umemgongea mtu mwingine.
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nina wataalamu wa wengi tu ninawafahamu wanaojua kupiga giutar. Maybe ungeniambia your location ndo ningejua jinsi ya kukusaidia.
   
Loading...