Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
- #41
Ulevi...
Kumbe ulevi nao ni kipaji? Duh!
Ulevi...
WE huwajui kina Sangoan na Sangoku?
Women, race cars and my field of expertise.
I know a guy. . .
Mimi nilijifunza kidogo nikaacha.
Hanging out with women is a talent? since when?
Then you got to hook me up with him kwa kweli.. Ntakutafuta. Btw why we uliacha? Is it so hard?
It's'your lucky day, i can play the guitar
And I. Can sing too.
Naongea lugha nane, nne international. 🙂
i play a guiter. Interested?
Shabhan sikuamini.. Mmh.
Ulevi...
ar u a gal? A fellow kamanda wud hav understood i meant landing them!
Mtoto wa kiume una kipaji cha kuiga sauti kama ya rihanna na jordin spark kwanini isingekuwa kama ya chris brown au trey songz
Nimesema hata kama iwe ya rihanna na Jordin Sparks nikimaanisha kuwa hata za kike naweza kuiga. Nina uwezo wa kuigiza sauti ya Chris Brown bila kukosea ila tray songz he is not my fan.
kwa nini lovely Amyner? Nishawahi kukuongopea?
ooooh! Sasa nimekupata ila ongera kwa vipaji vyote una budi kumshukuru mungu
LolKama kipi mkuu>?