Kwanini content creator Zayoo hapewi nafasi anayostahili?

Kwanini content creator Zayoo hapewi nafasi anayostahili?

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,200
Reaction score
1,850
Kuna watu wana vipaji vikubwa, wanafanya kazi nzuri na wana uwezo wa kufika mbali, lakini bado hawapati recognition wanayostahili. Kwa upande wangu, Zayoo ni mmoja wao.

Nimekuwa nikifuatilia content zake na naamini kabisa huyu kijana ana uwezo mkubwa. Ana creativity, anaweza ku-entertain watu na ana potential ya kufanya vizuri zaidi akipewa nafasi na support inayostahili.

Lakini swali linabaki, kwa nini bado haonekani sana kwenye matangazo, brand collaborations na fursa kubwa zinazowafikia content creators wengine?

Labda hana mtu wa kumsimamia. Labda hajapata watu sahihi wa kumuona. Au labda bado hajafika kwenye level ambayo brands nyingi zinaitafuta. Vyovyote vile, naamini kipaji kama hiki hakipaswi kupuuzwa.

Kwa brands, kampuni na wadau wa entertainment Tanzania msiache hiki kipaji kipotee bure.

 
Ana creativity, anaweza ku-entertain watu na ana potential ya kufanya vizuri zaidi akipewa nafasi na support inayostahili.
1788536392333.png

Huyu hapa akijipatia kifungua kinywa.
 
Back
Top Bottom