Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
- #121
Hahahaaaa nasikia JB na Majuto wametoa movie mpya...angalia then utanisimulia...
Ha ha haaaaaaa!!! Naona umeshaanza kumpa tenda mshikaji.
Hahahaaaa nasikia JB na Majuto wametoa movie mpya...angalia then utanisimulia...
mi kipaji changu ni kupika, kula na kudo
nani kakwambia?
mungu wangu! We babu....
Binafsi nina kipaji kikali katika music ila sijawahi kuweka juhudi sana kukiendeleza hvyo nmebaki kama mtu tu wa kufanya critic analysis ya music kwa ujumla japo sijawahi kusomea.
Nina uwezo mkubwa wa ku-compose music mfano nmefanya kazi kwa karibu sana na mwanamuziki wa injiri hapa nyumbani David Robert.
Performance yangu ya kwanza nilifanya wakati nipo form 2 pale Jitegemee Sec (miaka 15 iliyopita) na performance yangu ya mwisho nlfanya wakati nipo form 4 pale pale Jiteute!
Skillz nyingine ndogo ndogo nnazo ila Music ndio kila kitu kwangu!
Mi nakipaji cha kujamba wakat wowote ukitaka nifanye hivyo,kuchezesha **** 1,kukojoa mikojo yote mi2 at per na kuhamisha nyeti yangu kuiweka popote ntakapo nihisipo kuna hatari ya kubakwa(nyingine ni sifa cjui!)
Mi nakipaji cha kujamba wakat wowote ukitaka nifanye hivyo,kuchezesha **** 1,kukojoa mikojo yote mi2 at per na kuhamisha nyeti yangu kuiweka popote ntakapo nihisipo kuna hatari ya kubakwa(nyingine ni sifa cjui!)
Embu nihamishie nyeti yako ije kwangu maana nimeimiss kweli.
Mhmmm!!! Mimi nina wasi wasi na hicho kipaji cha kujamba. Huko nyuma pako sawa kweli? Hawajakucameroonize? Sasa kama unajamba kila wakati hayo makalio si yatakuwa yameshaoza? Ila angalia siku usije ukajamba ukajikuta unajinyea.
Haiendi mbali na mwili wangu
Hiyo itakuwa kesi ya kumamba wakat unajua unaharisha.Usikariri kuhuc cameron,unataka kunambia kila kila asimamishae anauwezo wa kuzaa!wengine risas za maji master
Hilo nalo neno. Ila mie Bunduki yangu inarusha risasi za moto si unaona jinsi ilivyojaa Moshi? embu kaniletee kwanza yale mafuta yangu ya bunduki pale kabatini niisafishe.
mtume mwanao kafunga shule hana kazi
music is my thing.nina tunga,andika(hii ni tofauti na kutunga),napanga(arrangement),naimba(genre zaidi ya tano za muziki)-japo navutiwa zaidi na muziki wa kiafrika,najifunza kutayarisha now,japo najua kazi iliyopikwa nusunusu na iliyo bora ikoje,napiga magitaa matatu ya bass,rythim na solo katika genre nyingi tofauti za muzki,napiga keyboard,marimba,conga,na drums japo sifanyi biashara ya muziki kabisa.i do it for fun!
pia naandika hadithi(drew inspiration from my mother-mwandishi wa hadithi kama kisasi cha mwanamke,jani la mgomba n.k. kwenye magazeti ya heko na motomoto back in the dayz).
napenda michezo sana.nashabikia soka(simba na man united,taifa starz) japo napenda na nacheza basketball(hii sio sana,maybe sababu ya majukumu now).
U have got such a gifted talent. Use it for the good of mankind. By da way unaweza kunipa baadhi ya genre ambazo wewe unaziimba?