Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,127
- 110,898
Nilikua na matukio mengi dada...Mlipendana au mlivuana tu? Nimekumbuka lile timbwili lako.
Wewe haujawahi kuvuliwa kwani??
Nilikua na matukio mengi dada...Mlipendana au mlivuana tu? Nimekumbuka lile timbwili lako.
Msiondoke mkuu...Kwahiyo tuondoke? Mbona kama hamtutaki wakuu?
Semeni tuondoke.
hahahaa mkuu ujue kuna mambo nilikuwa nimeshayaseti,wezi wameniibia majuzi apa kwahiyo najisaka upyaJobless na ukongwe wako humu si bora ufe tu asee
ni mimi mkuuKijana wako au ni wewe?
Sernior kabisa unakosaje ajiraniunganishe na mimi
Kwa hiyo mangi umekuja na kivuli kingine, maana hii ID ni ya 2022.Mno kipndi najiunga 2012 nilimkuta mwamba
Nimekumbuka mwaka 2015/16 niliwahi kuanzishiwa uzi flani humu...😂Kwa hiyo mangi umekuja na kivuli kingine, maana hii ID ni ya 2022.
Kipindi kile ulikuwa na matukio sana mkuu, ukachanganya mapishi humu humu, we noma sana.Nimekumbuka mwaka 2015/16 niliwahi kuanzishiwa uzi flani humu...😂
Basi nilisutwa na kushambuliwq na wadada kama 10 hivi walio ungana humu...😜
Lakini wandewa sikuwahi kubadili ID wala Avatar....🤣
Nikweli mkuu....🤣Kipindi kile ulikuwa na matukio sana mkuu, ukachanganya mapishi humu humu, we noma sana.
Hata hivyo ngozi ngumu hiyo, hakuna kubadilisha utambulisho 💪
Ukamuoa yupi?Nikweli mkuu....🤣
Yaani nilichanganywa na pesa, ushamba, tamaa na umri...😂
Mwisho nikaja kufanya maamuzi ya kutaka kuoa, hapo ndipo nilipo chafua hali ya hewa maana nilikua na wadada kama 4 na wawili kati yao ni member humu Jf alloooo.....😜
Yaani ulikua ni mnukano na kila mmoja alikua na kundi lake aiseeee...🤣
Wewe...😋Ukamuoa yupi?
Unaniuzia mbuzi kwenye guniaWewe...😋
Leo ndio watajua kama kumbe nilikuoa wewe sasa...😜Unaniuzia mbuzi kwenye gunia
Nakumbuka sana mkuu, japo nimesahau majina ya wale wadada ila mnyukano ulikuwa hot sana!!Nikweli mkuu....🤣