min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,614
- Thread starter
- #41
Ma papai hayo , nayanaomba 20 tu kummmke mimi nayatukana tuX wamejaa wadwanzi sana skuhiz......
Kuna mmoja alikuja akajieleza Sana kidogo niingie kingi kwamba kutoa Ni moyo ile kutoka DM nikaenda USSD ili nimtumie zikaingia DM nyingine 2 wanaomba hela dah nilighairisha mkuu