Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,634
- 112,473
Dahhhh....Nakumbuka sana mkuu, japo nimesahau majina ya wale wadada ila mnyukano ulikuwa hot sana!!
Uliwapanga wanne dah! Mzee mwenzangu noma sana😅
Sio poa kabisa, sema ilikua nilikua nakula ujana, kwasasa uzee umenifika wacha nile maisha polepole...🤗