Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

Binafsi nahisi behind the scenes na make impact ambayo ipo siku itakuwa revealed..

Sio kutoa connection wala kujitapa nimempa nani hela.

Bali ni kubadili kijana mindset, ambayo ndio funguo kuu
 
Binafsi nahisi behind the scenes na make impact ambayo ipo siku itakuwa revealed..

Sio kutoa connection wala kujitapa nimempa nani hela.

Bali ni kubadili kijana mindset, ambayo ndio funguo kuu
Sure
 
Nimezalisha ajira takribani laki 3 kwa vijana wa lumumba, wakitetea ugali wao wa buku 7, kubishana na hoja kali😁😁
 
Wanataka za ofisini ili wajipige picha wazitume mtandaoni
Nakubali mkuu mimi mbanga zangu za shamba an kijana unajikuta pekeako tu najifungia shambani miezi minane ukirudi mjini vijana wa umri wako wa 20s na 30s wanakushangaa na kusema hawawezi an mtu hana kitu lakini anachagua kazi balaa
 
Back
Top Bottom